halafu wanawake wanakuwaga na mambo ya ajabu akiona una mke anataka ahakikishe yeye ndio anakuwa namba waniUmeongea hoja ya msingi sana Tall.HG akishakolea anaweza fanya chochote kwa mkeo..Kwa kweli wanaume mnatakiwa kutafakari kwa kina..
Nimependa comment yako.wanaume wote tungekuwa hivi nadhani tungekuwa mbali sana katika mahusiano yetu.
halafu wanawake wanakuwaga na mambo ya ajabu akiona una mke anataka ahakikishe yeye ndio anakuwa namba wani
kuna nyumba ndogo yangu moja niliikuta inapekua simu nikamuuliza vipi akadai anataka kuchukua namba ya mke wangu, pale pale nikaiambia imekiuka masharti na kuipiga chini siku ile ile. Mke wangu anamhusu nn
jamani hv kama mkeo ni namba 0ne sasa huyu nyumba ndogo wa nini? jamani au sielewi mambo mie? najiuliza jibu cna maana najua alichonacho mkeo ndo hicho wakikuta kule sa sielewi me naona ni mambo ya kuacha 80% na kufuata 20%

Hahahahaha! INFIDELITY IS THERE to STAY!!!!ingeliwezekana ningekuombea ugeuzwe "kidume" japo kwa siku moja ili ujue ni kwanini? ,kwavile haiwezekani inabidi utuvumilie tu mamdogo.
Abraham alifanya vile kwa kuruhusiwa na mkewe bcoz mkewe hakuwa na mtoto by then na walitaka wapate mrithi, je waume zetu wanaofanya hivi leo wake zao hawajazaa?!
urithi mwingine mdogo.....
Huelewi nini hapo?!! Kashakwambia mkewe ni # 1 hiyo ina maana kwamba small hausi ni # 2, #3 na kuendelea....Halafu hapo kwenye red unasema unajua, we umejuaje hayo??????????????jamani hv kama mkeo ni namba 0ne sasa huyu nyumba ndogo wa nini? jamani au sielewi mambo mie? najiuliza jibu cna maana najua alichonacho mkeo ndo hicho wakikuta kule sa sielewi me naona ni mambo ya kuacha 80% na kufuata 20%