funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
halafu wanawake wanakuwaga na mambo ya ajabu akiona una mke anataka ahakikishe yeye ndio anakuwa namba waniUmeongea hoja ya msingi sana Tall.HG akishakolea anaweza fanya chochote kwa mkeo..Kwa kweli wanaume mnatakiwa kutafakari kwa kina..
kuna nyumba ndogo yangu moja niliikuta inapekua simu nikamuuliza vipi akadai anataka kuchukua namba ya mke wangu, pale pale nikaiambia imekiuka masharti na kuipiga chini siku ile ile. Mke wangu anamhusu nn