Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?

Binafsi nimekuwa nikakuta naishi kwenye mrengo wa kusaidia kazi iwe shambanii, kukatia mifugo, kupika, kufanya usafi toka hata hiyo teen yrs haijanipata,

Afu nyumbn tulikuwa na msemo tusipofanya sisi nan atakuja afanye ikiwa wa ndani hatutak?

so inakupa kufanya kila kitu kwa muda, ukichelewa ni kawaida sio siku zote unakuwa active

Kingine ni kutambua baba ni nani, kwenye nyumba, hii ilitufanya mara zote kujua kiongozi ni baba, provider ni baba, mlinzi ni baba.

Hii ilinipa motisha wa kujua nina baba hata ikiwa tunaenda sehem usiku naamini tupo salama hata tukivamiwa nipo na mwamba.

wakati mwingine kina mama waonyeshe watoto umuhimu wa baba, na nafasi yake na wewe vilevile,

Siku zote mwanaume hakui/Hana mamlaka kwenye nyumba ya mwanaume mwenzie.

waelekeze watoto wako vzr, nao kesho kutwa waje walee wa kwao vzr

Good luck en work hard
 
Kumkasirikia baba yao kwako ni kumheshimu na siyo kumdharau? Kwa nini siyo kwako bali ni kwa baba yao?
Ukatae ukubale wewe ndiye director wa hiyo movie.
Kukasirika (anger) ni hisia, na kila mtu anayo, watoto hawawezi kuwa na furaha muda wote, hata kwangu pia huwa wanakua na huzuni au hasira sometimes.
 
Duuh hiyo siyo sawa, mzazi lazima aheshimiwe.
 
Kama aliwalea kijunior hiyo kawaida. Ila enzi ya mshua wangu oya mpaka watu wanaoa mshua akionekana tu kila mtu anajua ndani kuna simba ila kuna +ve na -ve katika kila aina ya malezi lakini hii ya pili ni bora kuliko ya kijunior kama unataka amani na watoto wa kiswahili vinginevyo utazalisha watoto type hiyo na mashoga.

Nimemaliza mkuu
 
Huyo Baba atakuwa ni aina ya wababa wale ambao huamini kwenye kuzilinda Heshima zao kupitia UKALI/UBABE Jambo ambalo huzaa chuki.

SOLUTION: Baba awe hatabiriki,sehemu ya kupongeza apongeze kwa moyo mkunjufu,sehemu ya kushukuru ashukuru tena wazi wazi,Sehemu ya kufoka afoke mpaka povu mdomoni limtoke,sehemu ya kuongea kwa upole awe mpole kuliko njiwa. Kwa kifupi asikaririke wala kutabirika kabisa. Wababa wengi wanakosea kujivika sura moja zaidi mfano kuegemea kwenye UKALI au UPOLE(UKONDOO) na matokeo yake wanazipoteza damu zao kimahusiano. Wakati huo huo wewe Mama yao unapaswa uwe refarii(usiwe na timu,simama kwenye Haki,kama mtoto anastahili adhabu shiriki kuadhibu,kama anastahili zawadi,pongeza kwa moyo,sio Sehemu ya kuadhibu wewe unajifanya Malaika mwenye huruma za mchango,kanda hata makofi kadhaa kumuunga mkono Mzee)
ONYO: Epukeni kuchanganya ADHABU na ZAWADI. Mtoto akipigwa muache alie sio analia wewe unajifanya kuanza kumbembeleza,mtavuna MABUA. YATOSHA kwa Leo,ukitaka zaidi lipia ADA. Samahani kwa Mwandiko wa hovyoπŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…