Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Hakupendi huyo
We unahisi kuna ukweli hapo mkuu
Hapana.Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?
Haiwezekani.Yaani ikapita siku tatu mpaka week?
Hakupendi hata chembe huyo.Inawezekana mwanamke unaempenda usitake kumjulia hali?
Naomba kujua wewe ni ME au KE mkuuHii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.
Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?
Hii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.
Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?
VizuriI see youuu[emoji4][emoji4][emoji9][emoji4][emoji4]
Ha ha we jihesabie kama side chick
Haiwezekani. Ni rahisi tu kujua kua kama mtu yoyote anakupenda atakupa attention.
Kitu pekee mwanaume anaweza kufanya huku anakupenda ni kua na wanawake wengine zaidi yako na bado anakupenda wewe, hilo tu ndio wanaume tunaweza na tunalimudu bila shida.
Kimbia maya
Naomba kujua wewe ni ME au KE mkuu
Vizuri