Wanaume naomba mnisaidie hapa

Wanaume naomba mnisaidie hapa

Maya Angelou

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
1,086
Reaction score
2,576
Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?

Naombeni tu mnisaidie hili jibu

Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
 
Hii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.

Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?
 
Haiwezekani. Ni rahisi tu kujua kua kama mtu yoyote anakupenda atakupa attention.

Kitu pekee mwanaume anaweza kufanya huku anakupenda ni kua na wanawake wengine zaidi yako na bado anakupenda wewe, hilo tu ndio wanaume tunaweza na tunalimudu bila shida.
 
Kiukweli mahusiano ni muhimu sana kwenye relationship though haya justfy kama ndo unapendwa sanaa...mwingine aneza akusalimie vile unataka na asiwe mkweli na anaeza asukusalimie akawa mkweli au muongo its un predictable.Ushauri wangu jaribu kuangalia factors zingine na siyo hiyo tuu ya mawasiliano.For me when someone truly loves you utajua tuu acha hayo mambo ya mawasiliano, outings, money giveaway...na vingine.Mbona mi najuaga kama huyo ni feki huyu ni real.A a man.

You just see it
 
Hii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.

Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?

Nipo chuchu 🤣🤣 mbona unanifokea sasa?
 
Back
Top Bottom