Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo we tafuta mchepuko tuu usiumie moyo [emoji23][emoji23]
Mi huwa na kautaratibu hako na madem ambao huwa nakuwa nao huwa wanazoea,siwez kupga sm kila sku snaga story
Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?Yaani ikapita siku tatu mpaka week?
Inawezekana mwanamke unaempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Acha basi ....mawasiliano ni kila kitu kwenye mahusianoLabda nikuulize mleta mada..
Baba yako unampenda? Je, haijawahi kupita siku, siku mbili, hata tatu au zaidi hujampigia simu? Je, uliposhindwa kumpigia simu, alikulalamikia kwamba humpendi? Je, kupiga/kutokupiga simu ndio kipimo cha mapenzi? Vipi kabla simu hazijaingia, watu walikua wanawasiliana kila siku? Je, walikua hawapendani? Hivi kiuhalisia kuna haja ya mtu kukupigia simu kila saa ndio eti ujue anakupenda??
Huu ulimbukeni wa kudhani kwamba mapenzi ni kupigiana simu ni utoto.. mimi naweza kukupigia simu na kutuma msg kila dakika na nikawa sikupe ndi vilevile. Wanaume wana mambo mengi ya kufanya kupambana na maisha, kutafuta pesa nk ili uishi maisha mazuri.. sio kukaa kupiga piga simu kila dakika..! Aftaroo ukipigiwa simu kila saa mnaanza kutuona kama mazuzu.
Me nakwambia usibabaike,
As i told u. kuna wanaume sio active kwenye commmunication kama ameshajenga mahusiano na yamesimama. May be ww utateswa na mazoea kama zamani alikuwa hardly anacontact na ww frequently
Lakini pia inawezekana hakupendi na hawezi kukuambia hakutaki.
so kuna maelezo ya ziada yanahitajika kung’amua scenario yako
Ah wapi.. wapo watu wanawasiliana kila dakika na mahusiano yanafeli mazima. Mi nikishakujua kwamba we unapenda meseji si natuma tuu huku niko na mchepuko..? Unajiona unapeeendwa kumbe hamna lolote
Labda nikuulize mleta mada..
Baba yako unampenda? Je, haijawahi kupita siku, siku mbili, hata tatu au zaidi hujampigia simu? Je, uliposhindwa kumpigia simu, alikulalamikia kwamba humpendi? Je, kupiga/kutokupiga simu ndio kipimo cha mapenzi? Vipi kabla simu hazijaingia, watu walikua wanawasiliana kila siku? Je, walikua hawapendani? Hivi kiuhalisia kuna haja ya mtu kukupigia simu kila saa ndio eti ujue anakupenda??
Huu ulimbukeni wa kudhani kwamba mapenzi ni kupigiana simu ni utoto.. mimi naweza kukupigia simu na kutuma msg kila dakika na nikawa sikupe ndi vilevile. Wanaume wana mambo mengi ya kufanya kupambana na maisha, kutafuta pesa nk ili uishi maisha mazuri.. sio kukaa kupiga piga simu kila dakika..! Aftaroo ukipigiwa simu kila saa mnaanza kutuona kama mazuzu.
Nakazia tu siongezi kituHii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.
Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?
Hili mbona rahisi sana, siyo tu hizo siku hata mwaka.Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?Yaani ikapita siku tatu mpaka week?
Inawezekana mwanamke unaempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Nakazia tu siongezi kitu
Hili mbona rahisi sana, siyo tu hizo siku hata mwaka.
Inategemea.Na wewe mwanamke asipo kutafuta hata week huoni ni tatizo?
Kama Mimi nilikuwa nachati na 1 wawo bhana mengine siwezi kusema labda uje pm nimeogopa long distance relationship huwa mara chache huwa apply kweli yaaniOngeza nielewe zaidi[emoji848]
Inategemea.
Mna mafungamano gani.Inategemea nini haswa?
Na wew kwann ujikaushe