Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nafikiri anayeweza kujaji vizuri ni wewe kwa kutafakari yafuatayo;Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?Yaani ikapita siku tatu mpaka week?
Inawezekana mwanamke unaempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Mimi nafikiri anayeweza kujaji vizuri ni wewe kwa kutafakari yafuatayo;
1. Inawezekana anakupenda sana ila hayupo tayari kuoa kwa sasa na wewe unataka mambo yaende chap chap
2. Inawezekana anakunda ila anapata shinikizo kwa familia hivyo kupata wakati mgumu (kuendelea na wewe au kukuachana
3. inawezekana anakupenda ila anatabia ya Uvivu wa mawasiliano; kumbuka sio watu wote wapo active
4. Kwani mwanzo alikuwa anawasiliana mara kwa mara na sasa ndio amepunguza? au nitabia yake ya kuwasiliana kwa mapozi?
5. inawezekana hakupendi tena ila anashindwa kukuambia kuwa yaishe
6. Usichukulie kirahisi ukamuacha mpenzi wako; fanya utafiti isije kuwa ndio huyo uliyepangiwa Mungu
Sas siumeshajua tuliaNione kama mahusiano yapo kweli au nipo peke angu najidanganya
Njoo uku akupendi huyo janja ........ karibu mamaHivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?Yaani ikapita siku tatu mpaka week?
Inawezekana mwanamke unaempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Nahisi huyo atakuwa mwanasaiyanzi au ITUmenifanya nitafakari
Ni mvivu kuandika hata sms kuandika ni fupi ila kuongea anaweza
Ni sahihi nikimuuliza kulikoni[emoji848]?
Kwanini na wewe unawaza hela sana?? inawrza kuwa sababu ya yeye kuku ignoreSiwezi kuchepuka kwa mchepukaji anakaliwa kimya huyo yupo kwenye ignore list[emoji706],siwezi kuwaza hela alafu nimfikirie na yeye kwanini hanitafuti [emoji35]
Kwanini na wewe unawaza hela sana?? inawrza kuwa sababu ya yeye kuku ignore
Hii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.
Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?
Mbona Mambo ya kawaida hayo..dunia inaenda Kasi Sana.Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?Yaani ikapita siku tatu mpaka week?
Inawezekana mwanamke unaempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena moto wa petrolI agree
Nimeona moshi mapema sana huko mbele kuna moto
Eti mpendwa wiki kweli inaisha mmm kipindi hiki cha technologyAisee.. mawasiliano ni muhimu katika mapenzi.
Hapo hamna kitu.. mwanaume akipenda atafanya juu chini apate muda wa kuwasiliana na mwandani wake..huyo mwanaume hapana.Eti mpendwa wiki kweli inaisha mmm kipindi hiki cha technology
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Pole sana!Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane nae?Yaani ikapita siku tatu mpaka week?