King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Maashaallah....Ayaa mkuu all the bestMi najua ni mwanamke tena kigoli..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maashaallah....Ayaa mkuu all the bestMi najua ni mwanamke tena kigoli..
Pengine nayeye anakufanyia assessment, anajikausha kuona km kweli una mpenda , so mmekutana. Supervisor wawili hapo hamtaweza kudumu ,labda mmoja akubali kuwa mwanafunziHivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Acha kumdanganya mwenzio...yaani unampenzi unakaa week..nzima hamwasiliani.. hata usiku Basi unakaribia kulala ..kumjulia Hali ...hata Kama upo busy kiasi gani kumtafuta mtu haichukui dakina 5...unaweza piga Simu Basi wakati unakojoa Kama kweli huna muda kabisa.Me nakwambia usibabaike,
As i told u. kuna wanaume sio active kwenye commmunication kama ameshajenga mahusiano na yamesimama. May be ww utateswa na mazoea kama zamani alikuwa hardly anacontact na ww frequently
Lakini pia inawezekana hakupendi na hawezi kukuambia hakutaki.
so kuna maelezo ya ziada yanahitajika kung’amua scenario yako
Hatuzungumzii kupiga Simu kila dakika...Mimi nampenda Mama yangu...Siwezi kaaa week sijawasiliana nae.Labda nikuulize mleta mada..
Baba yako unampenda? Je, haijawahi kupita siku, siku mbili, hata tatu au zaidi hujampigia simu? Je, uliposhindwa kumpigia simu, alikulalamikia kwamba humpendi? Je, kupiga/kutokupiga simu ndio kipimo cha mapenzi? Vipi kabla simu hazijaingia, watu walikua wanawasiliana kila siku? Je, walikua hawapendani? Hivi kiuhalisia kuna haja ya mtu kukupigia simu kila saa ndio eti ujue anakupenda??
Huu ulimbukeni wa kudhani kwamba mapenzi ni kupigiana simu ni utoto.. mimi naweza kukupigia simu na kutuma msg kila dakika na nikawa sikupe ndi vilevile. Wanaume wana mambo mengi ya kufanya kupambana na maisha, kutafuta pesa nk ili uishi maisha mazuri.. sio kukaa kupiga piga simu kila dakika..! Aftaroo ukipigiwa simu kila saa mnaanza kutuona kama mazuzu.
DADEKI..😂Maashaallah....Ayaa mkuu all the best
Mambo mengine yapi,,, wakati hamwasiliani?.. akikupigia kutaka kufanya mapenzi Ndo mnawasiliana nawewe unasema kila kitu kipo sawa..Ndio mwanzo si kama tumekuwa kwa mudaa,kila kitu tupo sawa ila hapo tu kwenye mawasiliano,sioni kosa jingine lolote mambo mengine yote yupo sawa
Umezungumza VIZURI!Kiukweli mahusiano ni muhimu sana kwenye relationship though haya justfy kama ndo unapendwa sanaa...mwingine aneza akusalimie vile unataka na asiwe mkweli na anaeza asukusalimie akawa mkweli au muongo its un predictable.Ushauri wangu jaribu kuangalia factors zingine na siyo hiyo tuu ya mawasiliano.For me when someone truly loves you utajua tuu acha hayo mambo ya mawasiliano, outings, money giveaway...na vingine.Mbona mi najuaga kama huyo ni feki huyu ni real.A a man.
You just see it
Mjumbe kama Mjumbe ni mtu anayeweza kutoa siri ya kambiHaiwezekani. Ni rahisi tu kujua kua kama mtu yoyote anakupenda atakupa attention.
Kitu pekee mwanaume anaweza kufanya huku anakupenda ni kua na wanawake wengine zaidi yako na bado anakupenda wewe, hilo tu ndio wanaume tunaweza na tunalimudu bila shida.
Ingine kukupiga mizinga ya maana dailyDalili za mwanamke asie kupenda
1. Hana muda wa kuwasiliana na wewe
2. Kuhusu mzigo atakupiga tarehe mpaka utasahau.
3. Kukufokea
Na nyingine mabaharia wataongeza
Ila ukiona hizo dalili jiongeze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Mmesikia wavulana, hapa wanatakiwa wanaume watoe ushauri! Wavulana mpite tu kwa kusoma tunachoandika wanaume!Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Haya majibu ni ya mvulana...hebu Soma Uzi!? Huu ni wa wanaume...we kivulana unatakanini.. ona Sasa unavyoharibu mfyuuu!Ha ha we jihesabie kama side chick
Hiyo ni kweli kabisa hasa ukiwa kwenye mapenzi na watu wenye asili ya ugumu flani hiv ambao hawafanyi scrub, hawanyoi denge wala hawalambi lips,,, yan ukiwa na mwanaume wa dizain hiyo hata ukiumia anaweza asikwambie pole ila anakupenda kinoma yan, na ukimkaushia et usimtafute had yeye akutafute uta surrender mwenywe maana na yeye atakukaushia licha ya kuwa anakupenda.... Mimi pia nipo hivyo hivyo ila tatzo letu ni 1 tu huwa tunaachana na madem kimasihara