Wanaume naomba mnisaidie hapa

Pengine nayeye anakufanyia assessment, anajikausha kuona km kweli una mpenda , so mmekutana. Supervisor wawili hapo hamtaweza kudumu ,labda mmoja akubali kuwa mwanafunzi

One love
 
Ameshakuacha Zamani...aanataka TU ujiongeze...Unakupigia Simu mnadu...anae delea na maisha yake...akipata hamu Tena ndk anakukumbuka ...huyu Hakupendi..

Mapenzi yakiwa mazuri, yanaflow TU yaaani...yaani mwenyewe unaona mawasiliano yanaflow hakuna kustruggle oooh mbon hujanipigia, mbona nakupigia hupokei..hujaona missed call?..week inakata mtu hakutafuti ..INAMAANA HAKUITAJI WALA HAONI UMUHIMU WAKO KWAKE... MOVE FORWARD.
 
Acha kumdanganya mwenzio...yaani unampenzi unakaa week..nzima hamwasiliani.. hata usiku Basi unakaribia kulala ..kumjulia Hali ...hata Kama upo busy kiasi gani kumtafuta mtu haichukui dakina 5...unaweza piga Simu Basi wakati unakojoa Kama kweli huna muda kabisa.
 
Hatuzungumzii kupiga Simu kila dakika...Mimi nampenda Mama yangu...Siwezi kaaa week sijawasiliana nae.
Tunachozungumzia Ni Mpnz umeamka salama....Hilo nalo Ni gumu ..
Yaani hiyo hela unayotafuta Ndo inakufanga ushindwe kumsalimia mpnz wako..

Ina maana UMUHIMU wake Ni pale TU ambapo unataka kufanya nae mapenzi..hapo Ndo unaweka vocha na kupiga simu?
 
Ndio mwanzo si kama tumekuwa kwa mudaa,kila kitu tupo sawa ila hapo tu kwenye mawasiliano,sioni kosa jingine lolote mambo mengine yote yupo sawa
Mambo mengine yapi,,, wakati hamwasiliani?.. akikupigia kutaka kufanya mapenzi Ndo mnawasiliana nawewe unasema kila kitu kipo sawa..

Tatizo you don't want to trust your instincts. Unaona redflag kabisa but unajifanya huoni..ACHANA NA HUYU MWANAUME.
 
Umezungumza VIZURI!
 
Mjumbe kama Mjumbe ni mtu anayeweza kutoa siri ya kambi
 
inawezekana anakupenda sana tuu,ila mnaviziana nani amuanze mwenzie kwa salam,mimi nnae wang nampenda sana,ila sometimes inawez katika siku zaid ya tatu no communications kwa sababu ya viburi vyetu kuoneshana nan bora zaid ya mwenzie,ila nshampa suspansion ya mwezi mmoja na nusu hivi ajifunze maisha,na huenda huyo jamaa yako nae huko anaomba ushaur kama wewe,la msingi hapo acheni ujinga furahieni kipindi hiki mko pamoja,wewe ukiamka saa 12 asubuhi mpe hi,kisha endelea na kuboresha uchumi wako,akijibu sawa,asipo jibu ni tatizo lake sio lako.
 
uyo anachokifanya kwako anakuandaa kuwa waifu matilio ndio mana ataki kukusumbua kukupigia pigia masimu ovyoo we kuwa mpole wanaume kama uyo wako mwisho wake uwa ni kutangaza ndoa tu hakuna jingine
 
Hiyo ni kweli kabisa hasa ukiwa kwenye mapenzi na watu wenye asili ya ugumu flani hiv ambao hawafanyi scrub, hawanyoi denge wala hawalambi lips,,, yan ukiwa na mwanaume wa dizain hiyo hata ukiumia anaweza asikwambie pole ila anakupenda kinoma yan, na ukimkaushia et usimtafute had yeye akutafute uta surrender mwenywe maana na yeye atakukaushia licha ya kuwa anakupenda.... Mimi pia nipo hivyo hivyo ila tatzo letu ni 1 tu huwa tunaachana na madem kimasihara
 


Nirushie namba ntapiga simu ilikuwa mbovu ikajifuta.
 
Mmesikia wavulana, hapa wanatakiwa wanaume watoe ushauri! Wavulana mpite tu kwa kusoma tunachoandika wanaume!

Jibu hapa ni yes & no!
Inategemea na msingi wa mahusiano yenu! Nitarudi, ngoja niwaachie wanaume wenzangu!
 
Ha ha we jihesabie kama side chick
Haya majibu ni ya mvulana...hebu Soma Uzi!? Huu ni wa wanaume...we kivulana unatakanini.. ona Sasa unavyoharibu mfyuuu!
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sasa huoni unajichosha pia maana unaachana na watu kwasababu ya ugumu?ugumu ndio nini kwenye mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…