Wanaume naombeni mnijibu hili swali kwa mitazamo yenu

Wanaume naombeni mnijibu hili swali kwa mitazamo yenu

Good Sunday to everyone.
Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada.

Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere.

Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu anatishika vile ambavyo wanaume wanawakandia single mother kwamba saa yoyote baby daddy anajipigia anavyotaka. Sasa anajihoji je kama akimkubalia kuolewa na jamaa af baadae jamaa akiendeleza libeneke na baby mama wake tena akawa (mchepuko) wa kudumu itakuwaje?? She is not ready for such pains then should she not get married???au ni hofu tu?
We kama una ugonjwa wa moyo,usiolewe kabisa,hakuna maraika duniani,ndoa ni kujitoa,hakuna garantii kwamba,hakuna atakae chepuka,chochote kinaweza tokea
 
We fata moyo wako, kama unampenda olewa nae kama haujisikii piga chini....mb"#oo haichungwi dada
 
Asiolewe nae ma baby mama wengine ni ving'ang'anizi haswaaa na wachawi ndoa yako inaweza kuwa hell. Mwambie amuoe mama mtoto wake wao ndo wanafanya wamama na watt wanahangaika mitaani why amzalishe amuache?
 
Good Sunday to everyone.
Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada.

Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere.

Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu anatishika vile ambavyo wanaume wanawakandia single mother kwamba saa yoyote baby daddy anajipigia anavyotaka. Sasa anajihoji je kama akimkubalia kuolewa na jamaa af baadae jamaa akiendeleza libeneke na baby mama wake tena akawa (mchepuko) wa kudumu itakuwaje?? She is not ready for such pains then should she not get married???au ni hofu tu?
Sema ni wewe
 
Kupiga ata piga tu, ata akiapa, iko siku itatokea na haitaacha

Vye achague kimoja kati ya kukubal hvo au kuenda kwa mwngne.

Kubadilika au kutokufanya hvo n choice ya mwanaume 100%
 
Hivi Kwa sasa kuna mwanamke WA kuwa na nyodo za kuolewa mwanamme mwenye mtoto, si utazeekea bila Mme.
 
Mwambie yeye ndio atakua na maamuzi huyo mwanaume amkumbuke mzazi mwenzake au ampotezee wanawake wengi hawajui kuishi na wanaume wajisahau sana
 
Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada.

Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere.

Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu anatishika vile ambavyo wanaume wanawakandia single mother kwamba saa yoyote baby daddy anajipigia anavyotaka. Sasa anajihoji je kama akimkubalia kuolewa na jamaa af baadae jamaa akiendeleza libeneke na baby mama wake tena akawa (mchepuko) wa kudumu itakuwaje?? She is not ready for such pains then should she not get married? Au ni hofu tu?
Mimi sio mchawi ila nimehisi tu ni wewe wala sio kuna dada mmoja , mm nakushauri olewa tu upruvu rong kuwa masinge maza sio mbayumbayu.
 
Back
Top Bottom