Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Habari,
Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga.

Yes i know wengi mta-take advantage ya kuoga jana but please ogeni ndo mje maofisini.

Sitaki ubishi coz im sure 60% hamjaoga leo. Wadada leo msikubali kukumbatiwa hovyo manake najua leo Jumatatu wanajifanyaga kuhug hug kisa it was weekend hamjaonana.

Mambembe the unstoppable
Queen off all weather
Utaogaje bila kuwa na papuchi.
 
Hahahaaa. Lol.

Nimekumbuka kipindi nikiwa Primary Arusha hiyo na kale ka baridi muda wa kwenda shule asubuhi ilikuwa lazima hii formular niifuate rafiki.
Hahah!!

Sasa hiyo no.5 ulikua unaiweza kweli?
 
Back
Top Bottom