mwanalumango
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 232
- 279
Wengine mnajifutagaa tu lol
Labda huyo wako!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine mnajifutagaa tu lol
Hahhaha weeeee haiwezekani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mdogo wako huyo, hazard alishapiga pass ndefuu
ndiyo mkuu,
wana vaa katani kichwani
Mi nywele zangu nakata so daily lazina kichwa kiogeNa wewe uoge kichwani sio unakaa mwezi eti ndo unaenda saloon kuosha kichwa!!!
Usipooga nakunyima.ole wako uwe mkali baadae
nitaoga tena ya baridi maana uhakikaUsipooga nakunyima.
Utaogaje bila kuwa na papuchi.Habari,
Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga.
Yes i know wengi mta-take advantage ya kuoga jana but please ogeni ndo mje maofisini.
Sitaki ubishi coz im sure 60% hamjaoga leo. Wadada leo msikubali kukumbatiwa hovyo manake najua leo Jumatatu wanajifanyaga kuhug hug kisa it was weekend hamjaonana.
Mambembe the unstoppable
Queen off all weather
Hahahaa!! Basi shapata kiboko yako.nitaoga tena ya baridi maana uhakika
ubaya huo sasa loveHahahaa!! Basi shapata kiboko yako.
Baby si unajua kukunyima siwezi kabisa!!ubaya huo sasa love
Unakutana na mtu ofisini jumatatu utadhani ni ijumaa maana wananuka kibeberu tuBora umewakumbusha maana wanajisahaulisha mno kwa kigezo cha baridi!wananuka uvundo tu mfyuuu!
Hahahaaa. Lol.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekumbusha jambo la maana sana lakini uogaji wa hichi kipindi lazima kutumia formular maalumu [emoji116]View attachment 745994
Hahah!!Hahahaaa. Lol.
Nimekumbuka kipindi nikiwa Primary Arusha hiyo na kale ka baridi muda wa kwenda shule asubuhi ilikuwa lazima hii formular niifuate rafiki.
Mie sikuwa nasimama rafiki hapo nainama basi kichwa kinapitishiwa vimaji au kama vipi nachovya na kujipaka kichwani kwa ajili ya kulainisha nywele ili kitana kikaingie. [emoji85] [emoji85]Hahah!!
Sasa hiyo no.5 ulikua unaiweza kweli?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lol.Watavunda bhn mimi simo kwenye hilo genge la wasiooga
Duuh. Yaani Arusha ni noma Mkuu.Nikiwa Arusha na sitaki kuoga maji ya moto hizi swaga zinatumikaga sana.
Maji unayapa mgongo halafu unayakwepa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimekwelewa, mimi kuoga siyo fani yangu.
Ningeweza nisingeoga kabisa, ila ndo inabidi tu.