Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

hao watakuwa wa huko kwenu..mwanaume anakoga mara mbili kwa siku, asubuhi na usiku, na pengine akitoka kukitumbua anakoga tena mara ya tatu..

Mkuu unajipendekeza kwa mademu wa humu, nakuhakikishia kwamba umeongea kwa kujipendekeza.

Kama siyo.... mwanaume haogi mara 3 kwa siku.
 
nijipendekeze ili iweje?
nimesema mwanaume anaoga mara mbili asubuh na usiku na ikitokea akapa papuchi hata mara tatu anaweza kuoga.. yaani asubuhi usioge, saa ya kupumzika jioni usioge ia, wewe utakuwa mtu wa namna gani
 
Mungu n mwema naomba iendelee km week iv nshachoka kuoga daily
 
nijipendekeze ili iweje?
nimesema mwanaume anaoga mara mbili asubuh na usiku na ikitokea akapa papuchi hata mara tatu anaweza kuoga.. yaani asubuhi usioge, saa ya kupumzika jioni usioge ia, wewe utakuwa mtu wa namna gani

Nimekwelewa, mimi kuoga siyo fani yangu.

Ningeweza nisingeoga kabisa, ila ndo inabidi tu.
 
hahahahaahah, ngoja nimtagi huyu mwenzangu wa JF asiyependa kuoga!!!!!!!
 
Back
Top Bottom