Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Tuombe radhi, sisi tunawake tunalala nao usiku kucha na kufanza utatuambiaje tunakwenda ofisini bila kuoga. Tutaendaje ofisini na janaba, tafadhali mama!!!

adhi
Wengine mnajifutagaa tu lol
 
hao watakuwa wa huko kwenu..mwanaume anakoga mara mbili kwa siku, asubuhi na usiku, na pengine akitoka kukitumbua anakoga tena mara ya tatu..
 
Wee

Mmmmh wanaume wana majasho mabayaa saanaa
inategemea, ila nyie ni shida, mi naweza nikapitisha siku bila kuoga, ila wewe ukipitisha siku , lazima hiyo pichu upige chafyaaaaa , lakini ss hata ukiinusa iko poa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hao watakuwa wa huko kwenu..mwanaume anakoga mara mbili kwa siku, asubuhi na usiku, na pengine akitoka kukitumbua anakoga tena mara ya tatu..
Kwa mvuaaa hii wachache saaanaa wanaogaa
 
inategemea, ila nyie ni shida, mi naweza nikapitisha siku bila kuoga, ila wewe ukipitisha siku , lazima hiyo pichu upige chafyaaaaa , lakini ss hata ukiinusa iko poa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana inategemea na mtu ,tatizo nyie mmekremisha kuwa wanawake wanaharufu lakin sio kweli
 
Back
Top Bottom