Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Inategemea kama nlioga ucku
Na nkalala pekeang hyo asubuh
Cjui naenda kuoga nn zaid ya
Kukwazwa na maji bard tu[/
Kuoga kunakufanya mwili.uwe mwepesi na kufanyaa kazi kwa ufanisi ndugu yangu
 
Hyo n kweli na ucku ndo kabsa
Swez kulala bla kujimwagia maji

Asubuh hua napenda kuoga hasa
Nnapoamka saa moja na saa mbili

Mwili unakua comfortable vzr sana
Aiseee
 
Hahah!!

Pia inazuia mwili kupatwa kwa maji mara kwa mara uwapo bafuni..

Maana hapo ni mmwago mmoja tu wa maji umeshamaliza...

Yes, hiyo ndo point kubwa.

Nakumbuka tukiwa wadogo baba alikataa tusichemshiwe maji na mama, eti mama anamchemshia mume wake tu, sisi tusubiri tukioa ndo tuchemshiwe.

Kwa hiyo mbinu hizi ni toka zamani, sema baba akiwa hayupo mama alikuwa anatuchemshia.
 
Tuombe radhi, sisi tunawake tunalala nao usiku kucha na kufanza utatuambiaje tunakwenda ofisini bila kuoga. Tutaendaje ofisini na janaba, tafadhali mama!!!
Habari,
Jaman nawakumbusha wanaume kuogaa mvuaa isiwe kikwazo cha nyie kutokuogaaa,ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfum zilizo changanyika na kutokuoga

Yes i know wengi mta take advantage ya kuoga jana bt please ogeni ndo mje maofisini....



Nb:staki povu coz im sure 60% hamjaoga leo

Wadada leo msikubali kukumbatiwa hovyo manake najua leo jumatatu wanajifanyaga kuhug hug kisa it was weekend hamjaonana





Mambembe the unstoppable
Queen off all weather
adhi
 
Yes, hiyo ndo point kubwa.

Nakumbuka tukiwa wadogo baba alikataa tusichemshiwe maji na mama, eti mama anamchemshia mume wake tu, sisi tusubiri tukioa ndo tuchemshiwe.

Kwa hiyo mbinu hizi ni toka zamani, sema baba akiwa hayupo mama alikuwa anatuchemshia.
Hahah!!

Mzee aliku hataki mzoee maji ya moto bado mapema..
 
Back
Top Bottom