Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Utaogaje bila kuwa na papuchi.
 
Bora umewakumbusha maana wanajisahaulisha mno kwa kigezo cha baridi!wananuka uvundo tu mfyuuu!
Unakutana na mtu ofisini jumatatu utadhani ni ijumaa maana wananuka kibeberu tu
 
Hahahaaa. Lol.

Nimekumbuka kipindi nikiwa Primary Arusha hiyo na kale ka baridi muda wa kwenda shule asubuhi ilikuwa lazima hii formular niifuate rafiki.
Hahah!!

Sasa hiyo no.5 ulikua unaiweza kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…