Wanaume nendeni katika Mtandao wa Anti Ezekiel wa Instagram muwasikie Wanawake walivyosema kuhusu Sisi kutokuwa na Pesa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka.
Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala
Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi

Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni tusiwachane Marinda?
 
Dharau zimezidi sasa

Nikishawaambia wanawake ni kuwataliban tuu. Wewe wakandamize ukiwachekea ndio matokeo yake haya...matusi ya reja reja
 
IMG-20241106-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom