Wanaume nendeni katika Mtandao wa Anti Ezekiel wa Instagram muwasikie Wanawake walivyosema kuhusu Sisi kutokuwa na Pesa

Genta, hao ni makubuhu hata ukitatua marinda hamna kitu. So sad
 
Banned
 
Natafute mwanamke mwenye wivu kupitiliza asietaka nitoke ndani kwenda kufanya kazi,tukae wote ndani muda wote mpaka tufe na njaa Ili iwe fundisho kwa wengine!!
😂🤣
 
Wote hawana akili, mbona wao hawana hiyo pesa.
Hilo ni genge la ombaomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…