Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanamke mwenzenu, huyu mama kaongea kwa uchungu sana maana ndiyo ukweli wenyewe wa kinachoendelea kwa sasa.
Dada na wadogo zetu wa kike msipoamka kutoka kwenye huo usingizi mzito basi miaka 20 ijayo jamii itakuwa na kizazi cha ajabu sana, na msidhani kutafuta pesa itawapa amani ya milele, na hizo pesa huisha pia.
Wazee wetu wa zamani waliishi maisha ya furaha na amani siyo kwa sababu ya mali, japokuwa walikuwa na mali na assets za kutosha. Mabibi zetu waliwaheshimu waume zao hata kama hawana kitu, walikuwa radhi kulala njaa maana walijua maisha bila kuwa wawili si lolote wala si chochote.
Kazi kwenu✅