Wanaume ni bidhaa adimu, wanaume wapo wanawake ndiyo hakuna

Waambie hao kuku
 
Kabla hajapata Urais alivyokuwa anamuolea asubuhi na jioni mlikuwepo?
 
Uongo mtupu, mwanaume akipata pesa/mafanikio anahitaji mwenza wa kuishi nae ila wanawake wengi wakipata mafanikio wanataka waishi peke yao.
Tukiwa hatuna pesa mnatupaga stress sana, ndo tukizipata tunamwaga stress🤣🤣🤣
Yani niwe na pesa afu toto la mtu linilaze macho🤣🤣🤣 Sa nini maana ya kuwa na pesa🤣
 
Wanaona wao wana haki ya kunyanyasa Mwanamke. Hata jamii haishangai hilo
Wanawake tushazoea mateso, tukiwaonjesha wao wanaandamana hadi UN.....wanawake wengi wanaogelea kwenye ndoa za mateso, ndo mana wakipata Uhuru wa kiuchumi wanajivua fasta
 
Wanawake tushazoea mateso, tukiwaonjesha wao wanaandamana hadi UN.....wanawake wengi wanaogelea kwenye ndoa za mateso, ndo mana wakipata Uhuru wa kiuchumi wanajivua fasta
Sisapoti unyanyasaji ila wanawake mnapenda sana kuonewa huruma ila wenyewe mnajijua kuwa ni viumbe hatari mno.
 
Sisapoti unyanyasaji ila wanawake mnapenda sana kuonewa huruma ila wenyewe mnajijua kuwa ni viumbe hatari mno.
Hatari kwenye kulipiza.....ndo mana mi huwa nashauri mwanamke akikufumania muache, au ukiona unamnyanyasa yupo tu....kimbia.....payback yake ni hatari, na siku zote wanawake wanaattack ukiwa dhaifu, either kiuchumi au umezeeka.
Sa we fumaniwa afu foka🤣🤣🤣🤣
 
Hatari kwenye mambo mengi ndio maana tuliaswa kuishi nanyi kwa akili.

Mwanamke anaweza kukuacha kwa sababu huna kazi na vile vile anaweza kukuacha kwa sababu ya ubize wa kazi. Alafu unakomalia unyanyasaji upi uo?

Mimba mnazosingizia wanaume ambao sio nao ni unyanyasaji kwenu?

Ngoja niishie hapa maana yapo mengi.
 
kweli kabisa nitakuja na mkasa wangu humu siku moja hawa viumbe sijui wapoje wenzetu so selfish alafu utaambiwa wewe mwanaume ndio selfishhh
 
Wanawake tushazoea mateso, tukiwaonjesha wao wanaandamana hadi UN.....wanawake wengi wanaogelea kwenye ndoa za mateso, ndo mana wakipata Uhuru wa kiuchumi wanajivua fasta
Asili ya Ke ni mpokeaji sawa na sehemu zake za siri zilivyo, ndiyomaana Muumba alihalalisha Ke azae kwa uchungu (Mzazi/Mlezi wa Watoto) na Me ale kwa jasho (Mzazi/mhudumia familia kifedha) tofauti na hapo Ke akiwa strong financially, by status, education, famous kuliko Me lazima awe mbinafsi maana jasiri haachi asili.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
hayana mpangilio ni mvurugano kila upande una shida zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…