Wanaume ni wa ovyo sana

Hii kumbe ni kwa pande zote ?...🙄🙄
 
Bora umekuta anachati na wanawake shukuru Mungu ,kuna wenzako wanakuta anapumuliwa na wahuni .
 
Umepata ulichota.
Mwache sasa ukaolewe na mwingine
 
Kama ni kweli ulicho andika, huyo Mwanamme anamatatizo, anakosa sifa ya kuwa Mume; Pole sana dada
Labda nikuulize japo sio kwa umuhimu; huko chumbani huwa unamtimizia akihitaji au unamwekea masharti/visingizio???. Hii ni kwasababu anaonekana kuwa very active hivyo anaweza kuhitaji kila muda akiwepo nyumbani na kama wewe huna uwezo huo au una visingizio vingi, yaweza kuwa moja ya sababu ya kutafuta huko nje.......
 
Kama anakutesa hivyo, ebu njoo huku nasi tufanye yetu
 
Na wewe Anza kuufanyia maonyesho ili iwe ngoma Droo.Akimwaga mboga na wewe unamwaga ugali
 
Usiwadanganye wanawake wenye akili kuwaharibia ndoa zao kama ulivyoharibu ndoa yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah. Aombe msamaha tena!! Hahhahahaah jf asee kiboko
 
Wewe ni mwanamke mwenye akili na ufahamu mzuri sana. MUNGU wa mbinguni ailinde na kuiinua ndoa yako iwe na furaha kupita siku zote.

Angalia wanawake wapumbavu wasikudanganye ukaharibu ndoa yako kwa kufanya mashindano na mume au eti kulipiza kisasi. Hicho kitu hakuna. Soma biblia kama kuna mahali wanawake walikiwa wakiripiza visasi kwa waume zao zaidi ya kuwaheshimu.

Nimekupenda Bure.
Nakutakia maisha marefu.
 
Pole but your husband is an African Casanova 🥶🥶
 
anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.

Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.
Dada umepata dume la mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…