Wanaume ni wa ovyo sana

Wanaume ni wa ovyo sana

Hukuwa unampenda mkeo, Kwa hiyo hapo kosa la mkeo?
Huyo x tulishaachana na sikua na muda nae ilikuwa ni salamu tu maana hatukuachana Kwa ubaya Sasa huyu mke wangu akawa anachukuwa simu yangu anachati na huyo x as if mm ndo nachat na x nikafanikiwa kufahamu nikamkataza Bado hakukubali kwamba ni yy eti kisa password haijui nikamuonya aache hio tabia ya kupekua simu na kuwasiliana na wanawake hakuelewa akarudia Tena kumtafuta huyo mwanamke wa nje akachat nae sana wakatukanana mitusi isiyo ya Dunia hii na Bado nilipomfyma hakukubali Basi ugomvi ukaanza ilikuwa kama vita na akaapa kabisa atafanya mauaji wiki mzima nyumba haikaliki
 
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.

Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.

Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.
Huyo ni baharia bado anatafuta huenda hujakidhi viwango vya TBS hapo aliiacha kwa makusudi akupe ujumbe tu
 
Huyo x tulishaachana na sikua na muda nae ilikuwa ni salamu tu maana hatukuachana Kwa ubaya Sasa huyu mke wangu akawa anachukuwa simu yangu anachati na huyo x as if mm ndo nachat na x nikafanikiwa kufahamu nikamkataza Bado hakukubali kwamba ni yy eti kisa password haijui nikamuonya aache hio tabia ya kupekua simu na kuwasiliana na wanawake hakuelewa akarudia Tena kumtafuta huyo mwanamke wa nje akachat nae sana wakatukanana mitusi isiyo ya Dunia hii na Bado nilipomfyma hakukubali Basi ugomvi ukaanza ilikuwa kama vita na akaapa kabisa atafanya mauaji wiki mzima nyumba haikaliki
Wewe ulijuaje Kama wametukanana Kama huendekezi mawasiliano na hao wanawake, tena inaonesha humuheshimu mkeo hata kidogo.....Yani hao wanawake wa nje umewapa umuhimu kuliko mkeo.
 
Niliona chattings zote na bd mwanamke alibisha kwamba siyo yy. Kesi ilikuwa nzito hii mpaka serikali ya mtaa tulifika
 
Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.

Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.

Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.

Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.

Nikagundua friendlist kati ya 4552 alionao FB wanaume ni 20 tu, hivo hivo kwenye Instagram, amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile.

Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba, na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.

Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.

Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi ya Botswana kulingana na chating zao.

Nikataka niende WhatsApp, mikono ikatetemeka nikaacha.

Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni, ukimuuliza mbona bize sana, anakujibu biashara, mara betting, kumbe michepuko!

Sina hamu.
Hizo mbona ni changamoto za kawaida sana. Vipi ululitaka awe wako pekeako?
Na usikute hapo anakutafutia sababu huenda aliacha kulock makusudi kabisa😀 hata usimuulize ili mradi anakutunza na kujali familia. Acha wivuuu
 
Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.

Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.

Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.

Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.

Nikagundua friendlist kati ya 4552 alionao FB wanaume ni 20 tu, hivo hivo kwenye Instagram, amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile.

Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba, na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.

Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.

Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi ya Botswana kulingana na chating zao.

Nikataka niende WhatsApp, mikono ikatetemeka nikaacha.

Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni, ukimuuliza mbona bize sana, anakujibu biashara, mara betting, kumbe michepuko!

Sina hamu.
Umbea wako ulikuponza("Hiyo ndio maana ya mwanakulitafuta mwana kulipata")kwa mujibu wa ndugu zangu wazaramoo 😂
 
Back
Top Bottom