Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazma uanze pande zipi mrembo?Wazee wa pande zipi
Ajengewe Mnara wa Babeli kwenye nyanja ya kuitumia simu vema dhidi ya wanawake. Nashauri pitia na WhatsApp utakomaa zaidi kiakiliMwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.
Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.
Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.
Nikagundua friendlist kati ya 4552 alionao FB wanaume ni 20 tu, hivo hivo kwenye Instagram, amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile.
Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba, na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.
Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.
Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi ya Botswana kulingana na chating zao.
Nikataka niende WhatsApp, mikono ikatetemeka nikaacha.
Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni, ukimuuliza mbona bize sana, anakujibu biashara, mara betting, kumbe michepuko!
Sina hamu.
pole mama. ndoa hushangaza sana, wanawake wema hupata wanaume wapuuzi na wanaume wema hupata wanawake wapuuzi.Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.
Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.
Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.
Nikagundua friendlist kati ya 4552 alionao FB wanaume ni 20 tu, hivo hivo kwenye Instagram, amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile.
Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba, na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.
Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.
Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi ya Botswana kulingana na chating zao.
Nikataka niende WhatsApp, mikono ikatetemeka nikaacha.
Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni, ukimuuliza mbona bize sana, anakujibu biashara, mara betting, kumbe michepuko!
Sina hamu.
Aminapole mama. ndoa hushangaza sana, wanawake wema hupata wanaume wapuuzi na wanaume wema hupata wanawake wapuuzi.
Lock yourself in your own spiritual world be satisfied in the presennce of God, acha mpumbavu aendelee na upumbavu wake. Trust me it helps.
Weee, usije kumtia mwenzio petroli, Kwanza futa machizi, nenda bafuni kaoge, osha hadi nywele....paka lotion mwili mzima, paka make up usoni, jitazame kwenye kioo how beautiful you are!Jamani,mwili unatetemeka
Kuna maradhi pia, Ukimwi wa kuletewa unaumaaa....Bora ukausake mwenyewe.pole mama. ndoa hushangaza sana, wanawake wema hupata wanaume wapuuzi na wanaume wema hupata wanawake wapuuzi.
Lock yourself in your own spiritual world be satisfied in the presennce of God, acha mpumbavu aendelee na upumbavu wake. Trust me it helps.
Asant mamyWeee, usije kumtia mwenzio petroli, Kwanza futa machizi, nenda bafuni kaoge, osha hadi nywele....paka lotion mwili mzima, paka make up usoni, jitazame kwenye kioo how beautiful you are!
Shika simu yako, ingia DM....mjibu msg yake Yule jamaa anayekusumbuaga....just flirt with him, mpe nafasi akusifie nafsi isuuzike.....Kama Una pesa omba ruhusa jitoe out.
Ukimaliza uje unisimulie[emoji1787]
Nitakutoa iwapo utanithibitishia kuwa huwatongozi wanawake mitandaoni
Subiri kuna Maborehso Muumbaji anayafanya,Mjukuu wako hata kutana nayoNajua baadhi ya wanaume watamtetea mwenzao, na iwe chai ama ukhalisia ila ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap, some men are just for every woman, yaani standard ni kitu hawajawahi kuwa nacho kabisa..!!
you guys, can't you save your energy and time for sth better and worth for..??
Tukiwaambia msishike simu zetu hamsikii habari ndo hiyoNajuta kushika sim yake ,natamani irudi juzi
Na tutakaza / tutatia sana tu hakuna namna.Si kweli
Hii ndio dawa ya watu wambeya kama weweMwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.