Wanaume ni wa ovyo sana

Wanaume ni wa ovyo sana

Najua baadhi ya wanaume watamtetea mwenzao, na iwe chai ama ukhalisia ila ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap, some men are just for every woman, yaani standard ni kitu hawajawahi kuwa nacho kabisa..!!

you guys, can't you save your energy and time for sth better and worth for..??
Muulize rikiboy

Marijali Huwa hatuchagui Wala kubagua papuchi

Zote zinapewa huduma ya haki bin haki
 
Oooh lime mkuta jambo uyu
Na ww uache kimbele mbele chako Cha kukagua kagua simu za mumeo
 
Najua baadhi ya wanaume watamtetea mwenzao, na iwe chai ama ukhalisia ila ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap, some men are just for every woman, yaani standard ni kitu hawajawahi kuwa nacho kabisa..!!

you guys, can't you save your energy and time for sth better and worth for..??
K ni k tu...asikudanganye mtu
 
Kuna maradhi pia, Ukimwi wa kuletewa unaumaaa....Bora ukausake mwenyewe.

Na sisi masingle tunasema
""Hakuna mwanamke mtamu kama mwenye depression na ndoa yake, yaani hukupa yotee kama kulipiza huku akidhai mumewe anaona"

Kumbee ........

Nilikutana nae mmoja 2017 Iringa mjini, yule dada alikua nyokoo kitandani kumbe analipa kiasi cha mjeshi wake kutembea na Mwalimu wa Kihesa.....!!"

#YNWA
 
Njoo nikupoozee machungu mrembo twende nje ya mji tukale nyama choma chalinze tu hapo Kisha nakurudisha kwa jamaa yako
 
🤣🤣🤣🤣🤣Maisha mafupi haya kukaa kujiliza Liza kisa binadamu mwenzio.....
Halafu Kuna mbwa mmoja ananitumia sms "We jamaa utaoa lini?" Japo ni ndugu yangu ila kwa ushauri huu wa ndoa.

Ni dogggg

#YNWA
 
Najua baadhi ya wanaume watamtetea mwenzao, na iwe chai ama ukhalisia ila ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap, some men are just for every woman, yaani standard ni kitu hawajawahi kuwa nacho kabisa..!!

you guys, can't you save your energy and time for sth better and worth for..??
Cheap ni lile rungu[emoji23]
 
Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.

Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.

Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.

Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.

Nikagundua friendlist kati ya 4552 alionao FB wanaume ni 20 tu, hivo hivo kwenye Instagram, amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile.

Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba, na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.

Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.

Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi ya Botswana kulingana na chating zao.

Nikataka niende WhatsApp, mikono ikatetemeka nikaacha.

Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni, ukimuuliza mbona bize sana, anakujibu biashara, mara betting, kumbe michepuko!

Sina hamu.
Dear,Usifukunyue sana.Mwisho wote tutaiacha hii dunia.Usiwe serious saana na hilo.Mpaka leo si mnadunda vzr tu na afya njema?..basi wote mnajitambua.Mkumbuke kwenye dua zako,nawe jikumbuke.
 
Hata kama,je Kati ya hao woooote hajapata hata mmoja basi atulie naye angalau awe na mchepuko mmoja,sasa yeye katongoza wanawake wote mitandaoni ,huyu ni binadamu kweli?
Unazngua ww[emoji1787]

Mtu anajit*mbea zake tu uko we unaumia nn[emoji23]
 
Wanawake mnasababisha wenyewe haya mambo ,unakuta mtu unataka shoo mke unakuja na visingizio vingi,mara nimecheka ,sababu Kila siku,na unafahamu fika mumeo ni rijaal unategemea Nini,mfano mimi nimeamua kumcheat mke wangu Kwa ujinga wake
Sio kweli.... Huko mitandaoni Kuna wanawake hawajambwato zaidi ya miezi 7-12 wanawabembeleza wanaume zao.... Wanapita hivi... Vizingizio 1000+

Nimekuja kugundua. Wakati mwingine huwa hakuna haja ya kuolewa.... Na ili usipate kichaa.... wakati mwingine usichukulie haya mambo serious sana... Otherwise unapata kichaa....

Ndoa nyingi sana hazina Furaha.... Then what are they for😴😪🤧🥴
 
Na sisi masingle tunasema
""Hakuna mwanamke mtamu kama mwenye depression na ndoa yake, yaani hukupa yotee kama kulipiza huku akidhai mumewe anaona"

Kumbee ........

Nilikutana nae mmoja 2017 Iringa mjini, yule dada alikua nyokoo kitandani kumbe analipa kiasi cha mjeshi wake kutembea na Mwalimu wa Kihesa.....!!"

#YNWA
Yani ni tit for tat....ukijifanya we ukisalitiwa unalia Lia, mara unaomba talaka utaomba ngapi?
Unatafuta mtu, unampa yoooote.....ukirudi nyumbani kimya, heshima zote, siku zinaenda.

Na haya mambo hayakuanza Leo, tatizo siku hizi tekinolojia inaumbua watu, unadhani bila simu huyu Cute angejua mumewe anavyotembeza rungu huko nje🤣 Wamama WA zamani walikuwa wanajilipa, tena aliyechanganyikiwa na watoto wa nje analeta ndani.

Ndoa za kiuaminifu tuwaachie wazungu, Sisi black ni kupigana matukio siku ziende.
 
Nyie wanawake hamjui jambo moja ,hujawahi kumlipa mwanamume mahari,wewe ni Mali yake,anaweza kuoa mwanamke zaidi yako ,anachokifanya mwanamume ukiiga utaharibikiwa,wewe ndio unakuwa mhanga,mwanamke ni WA mumu mmja na mume ni wake
 
Weee, usije kumtia mwenzio petroli, Kwanza futa machizi, nenda bafuni kaoge, osha hadi nywele....paka lotion mwili mzima, paka make up usoni, jitazame kwenye kioo how beautiful you are!
Shika simu yako, ingia DM....mjibu msg yake Yule jamaa anayekusumbuaga....just flirt with him, mpe nafasi akusifie nafsi isuuzike.....Kama Una pesa omba ruhusa jitoe out.

Ukimaliza uje unisimulie🤣
😂 kumbe ndivyo mnavyofanyaga baada ya kugundua usaliti
 
Famchezo nn😂😂
 

Attachments

  • 124782B4-4206-4AF7-BDF2-71CBF19EF744.jpeg
    124782B4-4206-4AF7-BDF2-71CBF19EF744.jpeg
    49.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom