Wanaume ni wa ovyo sana

Huyo mwanaume wako ni mpumbavu, na sijui umeolewaje naye, haya sasa tutake radhi siye wanaume wengine
Nitakutoa iwapo utanithibitishia kuwa huwatongozi wanawake mitandaoni
 
A
Ajengewe Mnara wa Babeli kwenye nyanja ya kuitumia simu vema dhidi ya wanawake. Nashauri pitia na WhatsApp utakomaa zaidi kiakili
 
Ukitaka kupata sonono shika simu ya mume,
My rule ni moja tu sishiki simu ya mume hata iweje yani hata iite kama iko karibu hata akisema angalia nani anapiga huwa namjibu njoo uangalie mwenyewe!
Nafanya hivi kumaintain my peace na sijawahi kujuta mwaka wa 11 sasa nimeshazoea haya maisha!
Usipokua makini kuna mtu anaweza kukubadilisha from angel to monster,ukivuka hapo usishike tena simu yake,pole sana though!
 
pole mama. ndoa hushangaza sana, wanawake wema hupata wanaume wapuuzi na wanaume wema hupata wanawake wapuuzi.

Lock yourself in your own spiritual world be satisfied in the presennce of God, acha mpumbavu aendelee na upumbavu wake. Trust me it helps.
 
Amina
 
Jamani,mwili unatetemeka
Weee, usije kumtia mwenzio petroli, Kwanza futa machizi, nenda bafuni kaoge, osha hadi nywele....paka lotion mwili mzima, paka make up usoni, jitazame kwenye kioo how beautiful you are!
Shika simu yako, ingia DM....mjibu msg yake Yule jamaa anayekusumbuaga....just flirt with him, mpe nafasi akusifie nafsi isuuzike.....Kama Una pesa omba ruhusa jitoe out.

Ukimaliza uje unisimulie🤣
 
Kuna maradhi pia, Ukimwi wa kuletewa unaumaaa....Bora ukausake mwenyewe.
 
Asant mamy
 
Nitakutoa iwapo utanithibitishia kuwa huwatongozi wanawake mitandaoni

Kuna wanaume waaminifu kabisa, and why? Mimi ni mmoja wapo. Kama wabisha, andika humii forum na ulizia public kama kuna mtu kawahi tongozwa na mie...
 
Wanawake bhanaa[emoji28]

Watafuta Kila sabab ya kutoa machozi [emoji23]
 
Subiri kuna Maborehso Muumbaji anayafanya,Mjukuu wako hata kutana nayo

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio dawa ya watu wambeya kama wewe
 
Hii ndio dawa ya watu wambeya kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…