Wanaume ni wa ovyo sana

Yaani mume asinit*mbe miezi 7 na Mie nipo tu namuangalia? Kwa sababu hiyo K huwa anaenda nayo kazini au? Labda awe anaumwa nitavumilia......Kama ni mzima WA afya, mbona Hilo dogo tu linasolvika🤣🤣🤣 au ndo Kwa sababu hakuna kaburi la mtu aliyekufa Kwa nyege🤣🤣🤣🤣
 
Utakufa vibaya sana wewe
 
Wanaume tumeumbwa na huruma sana...Ni nadra msichana kumtaka mwanaume na mwanaume huyo eti aseme "Nina mtu wangu"



Sasa hiyo ni huruma au udhaifu wa kutojitambua?

Imeandikwa; “ pasipo maono watu huacha kujizuia “ kutenda mabaya/maovu.

Mwenye maono anajizuia!
 
Hizi simu zetu achaneni nazo mtalia na kujutia, ifahamike sio kila mwanamke ninayechat naye namla, kuna wengine huwa kama fun vile, kunao nachat nao na hata sina mpango wa kukutana nao ila ukisoma chat zangu utadhani nawatafuna.

Ukiingia kwenye simu ya mwanaume, utakuta unachokitafuta...
 
Yani mume wako kuwa hovyo ndio ujumlishe wanaume wote?. Tutake radhi 😊, sio kila mwanaume ana tabia kama za mumeo.
 
Nikichukua kisu nimkate pumbu nitaozea jela



Yanini yote hayo ?

Si afadhali uondoke hapo umwache!

Kwani maisha bila yeye hayaendi?

Kuliko kuvumilia Kwa sononi na kuanza kuwaza kumfanyia visasi.
 
Sasa Kama sio kitombi unaumia nini 🤣🤣🤣 hapa tunazungumzia wanaume vitombi, Kama wewe sio Kitombi pita huku....moja Kwa moja peponi.
Nakemea maovu yenu atleast dunia iwe na nusu ya wanaume waaminifu kama mimi😍
 



Ni sawa,
Lakini kwa upande mwingine ni afadhali kujua unaishi wa aina gani ili kama vipi muachane kabla ya hatari kutokea.

Awareness is empowering
 
Nakemea maovu yenu atleast dunia iwe na nusu ya wanaume waaminifu kama mimi😍
Anza kuwakemea wanaume wenzio wasiopitwa na sketi.....Mimi nimetoa tu mbinu za kupambana na wanaume vitombi Ili kujiepusha na magonjwa ya Moyo.
 
Kuna wanaume waaminifu kabisa, and why? Mimi ni mmoja wapo. Kama wabisha, andika humii forum na ulizia public kama kuna mtu kawahi tongozwa na mie...



Udumu katika kuenenda hivyo maana huwa kuna kubadilika!

Kuna watu walikuwa walokole hasa lakini leo hii hata asieamini ana afadhali.
 
Anza kuwakemea wanaume wenzio wasiopitwa na sketi.....Mimi nimetoa tu mbinu za kupambana na wanaume vitombi Ili kujiepusha na magonjwa ya Moyo.
Huyo nae katuaibisha wanawake elfu 2000?Ana pepo siyo bure
 
Alafu hii "mambo mrembo. Pande zipi upo?" Ndio common ice breaker ya wanaume wengi kule tinder badoo na hi5🤣🤣🤣🤣🤣
 
Usishike simu ya mwanaume utpofuka[emoji23]

Na je ungekuta anahudumia watu wa chama cha upinde si ungepata pressure kabisa....[emoji23]

Enewei...

Kataa ndoa.
 
Shida ni kile kichwa cha pili ukikiachia uhuru wa kufikiri huwa kina maamuzi ya kiwaki sana, inaitwa self-control
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…