Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Realistically I [emoji177][emoji8] you Carleen from this comment.Najua baadhi ya wanaume watamtetea mwenzao, na iwe chai ama ukhalisia ila ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap, some men are just for every woman, yaani standard ni kitu hawajawahi kuwa nacho kabisa..!!
you guys, can't you save your energy and time for sth better and worth for..??
Mwanaume anakuaje cheap na wewe acha chai zako hapa.Najua baadhi ya wanaume watamtetea mwenzao, na iwe chai ama ukhalisia ila ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap, some men are just for every woman, yaani standard ni kitu hawajawahi kuwa nacho kabisa..!!
you guys, can't you save your energy and time for sth better and worth for..??
Usikae kiboya boya mwari wangu, ndoa bila unafiki haziendi....ukijifanya Una real love sasa hivi tutakusindikiza India Moyo umetanuka.
Usisikie wamama WA zamani walikuwa wanadumu kwenye ndoa, sio Kama hayo yalikuwa hayapo, walikuwa wanajua kubalance[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmama ana kimchepuko cha kudumu kijijini kwao, akienda kusalimia kwao anampa yooote....akirudi Kwa mumewe heshima na magoti juu.....maisha bila unafiki utapata maradhi sugu.
🤣🤣🤣 Watu wameanza kwenda vacation toka kale, wakienda huko wanapunguza stress zote.Umenikumbusha mwanamke fulani (Nesi) alikuwa akienda kwao kijijini alikuwa ana-sex na Mwanaume fulani Mkulima .
Nilikuwa Mdogo lakini nilikuwa naweza yule mwanamke anatoka mjini anakubali kwenda kulala na Mkulima kijijini ambae hata kuoga haogi Maji mpaka mvua inyeshe mto ujae? [emoji848][emoji848]
Yani hadi leo nikikumbuka huwa nashangaa ingawa wote walishakuwa (late).
Kumbe kwenda kijijini kuna kuwaga na mambo au kule mtu alikulia.
🤣🤣🤣
Umeongeza na uongo humo, haiwezekani yote uliyoandika ikawa kweli.Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.
Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.
Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.
Nikagundua friendlist kati ya 4552 alionao FB wanaume ni 20 tu, hivo hivo kwenye Instagram, amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile.
Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba, na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.
Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.
Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi ya Botswana kulingana na chating zao.
Nikataka niende WhatsApp, mikono ikatetemeka nikaacha.
Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni, ukimuuliza mbona bize sana, anakujibu biashara, mara betting, kumbe michepuko!
Sina hamu.
Kuna wanaume wazinifu ww ACHA kabisa Nina rafiki yangu alidhatembea na wanawake 500+ wengine hata hawakumbuki! Mke kafimania we mpaka kachoka na Bado hawajaachanaUmeongeza na uongo humo, haiwezekani yote uliyoandika ikawa kweli.
Ndio inawezekana ila haya yaliyoandikwa na huyu mtoa mada uongo ni mwingi....anasema kati ya mafriend zaidi ya elfu4 wanaume ni 20 tu, unaamini hilo?Kuna wanaume wazinifu ww ACHA kabisa Nina rafiki yangu alidhatembea na wanawake 500+ wengine hata hawakumbuki! Mke kafimania we mpaka kachoka na Bado hawajaachana
Hukuwa unampenda mkeo, Kwa hiyo hapo kosa la mkeo?Acheni kushika simu za watu wenu, unafunga ndoa ya millioni 20 unaivunja Kwa sms ya shs 500, hivi utakuwa na akili??? Mm hata mke wangu tuliachana Kwa style hii. Sema alinifuma na wawili tu mmoja alikuwa x wangu wa pili ndo nilikuwa namzengea ila alikuwa nje ya nchi na hatukywahi kuonana! Simu ni nzuri ila balaa lake ni kubwa chupuchupu mwanamke animwage damu nikasema Cha kufia nn ugali mtamu mama Rudi kwenu mpaka Leo ananitumia ujumbe ila nilishamove on Nina miezi miwili nimeachana nae nataka nikamuoe huyo wa nje ya nchi aliyepanbana na huyu mke wangu! Wanawake acheni kujifanya usalama wa taifa Kwa waume zenu tunawapenda sana hata kama tunachepuka!
Watu wanateswa na mapenzi[emoji28]