Wanaume ni wa ovyo sana

Na wao wanakubali kuteswa sababu ya kukosa ufahamu juu ya mahusiano ya kimapenzi.

Ili uteswe ni lazima mateso hayo yapate ridhaa na nafasi ndani ya mtu.
Una Maana gani kusema wamekubali mateso,kwahy mtesaji anafurahia kumtesa mwenza wake?
 
Hii ni chai kama chai zingine tunazokunywa kabla ya kufuturu
 
Ni sawa,
Lakini kwa upande mwingine ni afadhali kujua unaishi wa aina gani ili kama vipi muachane kabla ya hatari kutokea.

Awareness is empowering
Unaweza jikuta we kila siku unaachana tu adi kifo kikukute🤣🤣
 
Ndiyo maana Mimi sishiki simu ya Mke wangu wala yeye hashiki yangu.

Akishika na kusomo kitakachomkuta ni juu yake na hata Mimi nikisoma sms zake kitakachonikuta ni juu yangu.

Kila mtu aheshimu simu ya mwenzake .
 
Wanawake mnasababisha wenyewe haya mambo ,unakuta mtu unataka shoo mke unakuja na visingizio vingi,mara nimecheka ,sababu Kila siku,na unafahamu fika mumeo ni rijaal unategemea Nini,mfano mimi nimeamua kumcheat mke wangu Kwa ujinga wake
Hataa kamaa mkuuu ndio zaidi ya wanawakee I5 mpk 200...too much kwa huyoo mumewee aiseee
 
Sawa Akili njema🤔.Ila pia sio lazima ukule🤔
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haichekeshi japo inachekesha baada yakujiangalia baada ya kusoma Uzi huu nikagundua ..KUMBE NAMI N MWANAUME
ss nacheka nn wkt ujaacha point hata Moja Kwa mwanaume aliyekamilika ...
HANAA MWANAMKEE MMOJAA....

KAA KWA KUTULIA........ULEE WATT
 
IFRS ingekuwa na misimamo kama ya kwako, makampuni mengi yangefungwa after one year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…