Wanaume ni wadudu

am pretty sure atakua na reason ya kufanya alichokifanya na pengine ukija kusikia unaeza usiamini kama ni yeye

sometimes mapenzi yanawageuza watu kua wanyama trust me
Uko sahihi, mnajua ninyi Ke huwa mnaongozwa na hisia kwenye maamuzi mengi kuliko sisi Me.

Unajua alisemaje mwishoni, kwamba alifanya vile ili wakose wote.

Ni miaka 50 sasa imepita japo kisa bado nakikumbuka.

Nilikutana naye mwaka 2018 kwenye tukio fulani, bahati nzuri wote tumejikuta tunatembelea Mkongojo 🤗
 
baba ako ni mdudu wa aina gani?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
DADA WEWE SI ULISEMA KUFIKA KILELENI MPAKA UONE PESA 🤣🤣🤣😂
 
Mbona na nyie huwa mnatuumiza sana embu acha kujipendelea
 
Wanaume ni wadudu
Mdudu gani sijui kamng’ata That manzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hakijamuuma… mpaka unapata muda wa kuandika? Alitakiwa sahivi awe analia huko [emoji1787][emoji1787] Michozi mfululu
Ilitakiwa saa hizi angekuwa anauguzwa lakini yeye anajiuguza mwenyewe
 
How come unamwamini binadamu,hata Mungu ashasema MPENDE KILA MTU ILA MWAMINI MUNGU TU
 
Wanaume ni wadudu
Mdudu gani sijui kamng’ata That manzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hakijamuuma… mpaka unapata muda wa kuandika? Alitakiwa sahivi awe analia huko [emoji1787][emoji1787] Michozi mfululu

ningekaza ubongo nisingepata muda wa kuja huku ashukuriwe Mungu nilistuka mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…