Wanaume ni wadudu

Kunywa maji baridi sister.

Halafu elezea vzr mkasa wako huenda ww ndo chanzo cha yote.
 
Pole sana. Amekuumiza mwanaume mmoja. Kwanini uwachukie wote?
 
Kwa hiyo unawashauri ladies wasagane au?,
Hata bi mkubwa nyumbani anamuogopa dingi au ww umezaliwa na jinsia ke zote?.
Kuumizwa kwako usiwatie wanawake wenzio ujinga, kama umeumizwa ni ww na ulimbukeni wako na huyo mdudu wako usitujumlishe wanaume wote!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…