Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Sema mwanaume wako, hiyo laana usiwabebeshe wengine