Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga ๐ฅฒ
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Amevunja uzio๐๐๐๐ bora leo umetuwakilisha, maana wao kila siku vilio.
Yaani nyie mnashangaza sana eti mnatupenda wakati mnachopenda ni hela zetu tu na tukiwaacha vilio huwa ni kwa ajili ya kukosa pesa zetu tushawashtukia sasa hivi ni kuchapa na kupita hivi[emoji851][emoji851][emoji851][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Basi tuombeane [emoji1787][emoji1787][emoji1487]
Yes, I do. Ndio maana nasema tuombeane mwaya.
Breakup zinaumiza hasa hivi mtu unampenda hadi kushauriwa hutaki!
Tumechambwa sana jamani ngoja na sisi leo tutoe nyongo ๐คฃAmevunja uzio
Usife kwanza bado zamu yangu kupendwa na wewe nijue kama unapenda kweli au maigizo tu [emoji16][emoji16][emoji16]I didnโt shed even a single tear!
Huyu wa sasa tukiachana ndio nitalia nife!
Hapo usiulize kingine ndicho kilichotokeaUnakuta mwamba kamwagia ndani halafu hataki kupokea simu au kujibu text [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....weee miso misondo umepigaje hapo!!??Unakuta mwamba kamwagia ndani halafu hataki kupokea simu au kujibu text [emoji3]
Kweli aiseeee wenzie brake ya kwanza inakuwaga mwimbili! ๐ ๐ ๐ ๐Wanaume ni wadudu
Mdudu gani sijui kamngโata That manzi๐๐๐
Ila hakijamuumaโฆ mpaka unapata muda wa kuandika? Alitakiwa sahivi awe analia huko ๐คฃ๐คฃ Michozi mfululu
Sisi naona mwanachama alisikiliza na kufanyia kazi ajenda za kikao chetu wanaume.Moja ya ajenda ni ukiona mwanamke anapenda hela sana piga tembeee na tumia uongo wote ili tu ujilie utam usepe sasa tiyari mwamba kaacha kilio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kikao cha mwisho tulikubaliana kwamba do not trust anything with a d1ck
Nafikiri hukuhudhuria hicho kikao that manzi
Nwei...pole
Bwana wee yaani wao wanataka hela yetu tuu hamna chingine hapoYaani nyie mnashangaza sana eti mnatupenda wakati mnachopenda ni hela zetu tu na tukiwaacha vilio huwa ni kwa ajili ya kukosa pesa zetu tushawashtukia sasa hivi ni kuchapa na kupita hivi[emoji851][emoji851][emoji851][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Umeliwa kimasihara nini? Chezea wewe!Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga ๐ฅฒ
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
SeneneNi wadudu wa aina gani??