that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 385
- 1,246
- Thread starter
- #161
I admit tatizo limeanzia hapoTatizo linaanzia hapo "ku fall in wadudu".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I admit tatizo limeanzia hapoTatizo linaanzia hapo "ku fall in wadudu".
Kwanini hawatulii kama wewe?December to remember 😂😂
We mtoto utakuja kuniua one dayUsijali Nifah
Tulikubaliana pia kufarijiana mambo yakienda ndivyo sivyo manake kimsingi mdudu hakwepeki...tunaishi nao kwa tahadhari
Sisi tupo 😃
Baba yako ni mwanaume pia?Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
nilaumiwe mimiWanaumue wa hivyo mnawaotoa wapi, tumlaumu mwekezaji au aliekubali uwekezaji
😀😀😀angeniambia ukweliTatizo wengi wenu huwa hawapendi ukweli...wanaufurahia uongo na kuukubali
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
mi nautakaKwan mnatakaga ukweli.
😂😂😂Kwanini hawatulii kama wewe?
alinishobokea mwenyewe na hela zakeUmemkuta ana pesa zake ukamshobokea elewa tayari ana mtu wake walianza naye zamani.
😀😀😀😀😀Kashadanganywa mtu huku tayar
Kuanzia Leo nasisi wanaume hatutaki kuharibiwa uvulana wetu Kila mtu abaki nachake wakujichukulia Sheria mkononi ajichukulie tu elewa neno Sheria mkononi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KurutiNi wadudu wa aina gani??
[emoji28] [emoji28] [emoji28] WomenSikulia kwa niliyeachana nae…
Huyu niliyemrudia ndio nitalia nife tukiachana! 🥹
Okay basi sawaalinishobokea mwenyewe na hela zake
Mkuu wewe unaweza kumtukana mtu na bado akakenua meno kwa kicheko.Wanaume ni wadudu...[emoji3064][emoji3064][emoji3064] kamwe SIMBA hawezi kuzaa kima...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake ni vicheche aise dah!!Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Yaan wewe ndio Mimi niliumizwa jamani...wewe afisaa wa jeshi ulie kuja kozi Monduli ukaniumiza jua umesababisha niwaumize wanaume wenzio...hususan wanajeshi wenzioMimi niliumizwa nikipata nafasi nami naumiza
Mimi niliumizwa nikipata nafasi nami naumiza