Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Sisi ni wadudu, tukiingiza mdudu, tunatoa mdudu mdogo kama wewe...ogopa uboo sana
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Na nyie mnavyotupanga foleni hamuoni kuwa mnatukosea? Ndo mkome na tamaa zenu.
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
"Papito, Sinyora,Garito,Mamito,Benzema, Mwamposa ,Kapumbu siku hizi wananiita mdudu aiih
UDUDU ni mwingi.". PHD
In HEMED's voice.
 
safiii alikuadhibu vizuri saaana
Lakini sikuwa na kosa ujue. I used to tell her at first place kwamba was just normal date kama nyingine.

Useme Wanawake wa miaka ile ya 70's hawakuwa waelewa tu, walidhani kila mahusiano yalitakiwa kuishia kwenye ndoa which was wrong

Jaribu kuimba ule Wimbo "Usifurahi juu ya yangu ewe adui yangu ...."

Sio vizuri ujue 😢
 
am pretty sure atakua na reason ya kufanya alichokifanya na pengine ukija kusikia unaeza usiamini kama ni yeye

sometimes mapenzi yanawageuza watu kua wanyama trust me
 
Back
Top Bottom