Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kimeumana kwl
Haiwezekani wanaume wote tukafanana tabia. Tupo hapa mabaharia shababi, ambao tumetulia kama maji ya kwenye mtungi. Ondoa hiyo chuki kwa wanaume. Mwombe Mungu akujalie kumpata mwanaume wa kukufaa.wote si ni wamoja
Mkubwa hivi Unashindwaje kukwepa mitego MWOAJI ANAJULIKANA haya njoo nanujaribu hukunkwangu maisha ninkombolelasasa si mseme ukweli tangu mwanzo mtu aamue mwenyewe anakubali au anakataa
Pole sana mkuu naona ulikutana na baharia.Hatuko wote kama unavyotudhania kiasi cha kutuita wadudu.Nakushauri usahau na u move on maisha yaweze kuendelea.sasa si mseme ukweli tangu mwanzo mtu aamue mwenyewe anakubali au anakataa
Mungu akubariki. Nyoka ni hatari sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani wanaume kuwa kwao wadudu kunaweza kuwafikia wanawake ambao wao ni nyoka...
Aisee hatari sii mchezoNi bwaa kabisa! Tena ile mijibwa ya barabarani
Ok its official...u r the most intelligent woman jf has ever had[emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani wanaume kuwa kwao wadudu kunaweza kuwafikia wanawake ambao wao ni nyoka...
Kama umeubwa Furaha Yako inategemea mtu Wacha unyooshwe.Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Huyo ulienae sio mdudu[emoji1787][emoji1787]Mbona hamkusema mapema sasa? Maana mimi nimeshampa moyo mtoto wa mtu mwenye hicho kiungo [emoji1787][emoji1787][emoji85]
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Amoeba (Amiba)Ni wadudu wa aina gani??
Hapana tafadhali!Huyo ulienae sio mdudu[emoji1787][emoji1787]
Umalifahamuuuh dudu washawashaAliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..