Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

😂😂😂Hivi bado mnafall kwa watu wenye vichwa viwili wanaoendeshwa na kichwa kimoja?!! Kibaya zaidi cha chini!!!
Pole sana
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Kama umeubwa Furaha Yako inategemea mtu Wacha unyooshwe.
 
Mbona hamkusema mapema sasa? Maana mimi nimeshampa moyo mtoto wa mtu mwenye hicho kiungo [emoji1787][emoji1787][emoji85]
Huyo ulienae sio mdudu[emoji1787][emoji1787]
 
criadormaloka-meme-1701779687392.jpeg
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?

Haya mambo yapo pande zote ndugu yangu.

Mengine tusiongee ikaonekana tunaharibu uzi wako!! Kuna wanaume wanatesekea mapenzi vilevile kuliko hata nyie wanawake.

Kifupi wanawake hamnaga huruma na muda, nguvu na vipato tunavyoteza juu yenu mbwa kabisa nyie....!!!
 
Huu mwezi ni mwezi wa kuvunja bond na kutengeneza mpya. Chache sana hua zina simama lakini kuna mtikisiko lazima uupitie.

Kuanzia January Nyuzi za kulia lia zitakua nyingi sana.
 
Sasa hapo unataka wengine watuchukie pia au wao watuogope tu inatosha... Anyway hapo kwenye kuchukia ebu nichukie mimi wengine endelea kuwapenda kama hapo kabla.
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Umalifahamuuuh dudu washawasha
 
Back
Top Bottom