Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🄲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
And the healing begins
 
Kwani sio mbwa tena, kumbe ni wadudu! Ni wadudu gani hao!
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🄲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Pole. Kwa kupatwa
 
Nipende kuchukua fursa hii kumshukuru mwanaume mwenzangu kwa kile alichokifanya , sitaki kukijua alichokifanya ila amefuata maagizo ya mwenyezi mungu kwa tuishi nao kwa akili!!!!!
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🄲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
we njoo kwangu nikusitiri japo ninamiliki mademu 2. Jitihada zako tu.
 
Wanawake hawataki watu wapole na wakweli, wanataka ma brazamen ambao Ni waongo na hupenda kujikweza na kujisifiaa ambao baada ya kuwatumia madada huwatupa Kama pedi ikiyotumika.
Tongoza mwanamke halafu umwambie kwamba wewe Ni mwalimu Kama atakukubalia lkn mwanamke mwambie unafanya kazi bandarini, haulizikama wewe kule Ni kuli au day worker kwenye migahawa, fasta tu.
 
Ewe mwanamke, mwanaume akikusifia kwa kitu ambacho unajua huna, kimbia haraka nenda nyumbani.
Ukisikia anakuambia wewe Ni mweupe wakati wewe Ni mjaluo wa Tarime, kimbia.
Akikuambia una tako wakati wewe Ni msambaa wa Lushoto. Uya kaya.
Akikuambia wewe huna maneno mengi wakati wewe Ni mluguru huyo anakupa sifa isio yako.
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🄲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Hata sisi tuna lawama na nyie mbuzi msiofaa mbaya kabisa, wanawake mnaangalia pesa tu na siyo upendo, na ndiyo maana mnakutana na mlio watenda na nyie mnatendwa kama kisasi Cha mwenzio aliye leta ushenzi, binafsi sina huruma na mwanamke yoyote hapa Duniani isipokua mama yangu tu ambaye nae watajuana na Baba, nyie wengine nikisikia mmetendwa kwanza nasikitika kuona hata umepata muda wa kuingia JF, ulitakiwa kua kwende kitanda Cha hospital shenzi zako
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🄲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Je wanawake wana umalaika kiwango gani?
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🄲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Acha umama

Kila mtu anatembea na Raha yake

Kama wewe una gubu wenzako hawako hivo wanafurahia

Mguso
 
Usijali Nifah
Tulikubaliana pia kufarijiana mambo yakienda ndivyo sivyo manake kimsingi mdudu hakwepeki...tunaishi nao kwa tahadhari

Sisi tupo [emoji2]
Mwenyekiti wa kikao kabla ya kukaa unambie dudu nichangie maji ya kunywa
 
Back
Top Bottom