DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
And the healing beginsAliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga š„²
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?