Wanaume niliowakataa mchumba namba tatu! Muendelezo

Upo nawe kwenye list?
Mimi nipo kwenye list ya Baba Mtakatifu katika wale mashemasi tuliokataa kuoa na kutoa maisha yetu kumtumikia Yesu Kristo.

Bibie anajua kwa maana alikuja kuungama, sitaki kusema sana,ila natakakuiona list ya hapa na ile ya kule alikoungama kama zinafanana.
 
Ahaa sawa
 
Wewe list yako unatoa lini? Mwaka wa ku declare interest huu.
Mim waliotakaga kunioa wote washakua matajiri kweli,hua nikikutana nao nijifichaa,mi nilikataa bado nazunguka mji tu hhhhaaaaaa
 
Wewe nawe. Sasa ulikataa kwanini? Sasa hivi ungekuwa katika "Team kausha ATM"
 
Hili goma naliogopa aisee.. Was really hurt sipati kuelezea hayo maumivu in writing.. Nimepata jamaa ananipenda sana sasa been dating for like four months now ila mmmh jamaa yupo too busy mpaka basi.. Kwa kujali anajali sana but nilishazoea mtu ambaye yupo available kila wakati nikitaka kuhang naye.. But due to the responsibilities and nature ya kazi yake huyu wa sasa ni ngumu kufanya hivyo kila ninapohitaji... Hebu nipe mawazo kungwi...
Hebu ukue sasa ujue nini unataka we binti, utakosa mwana na maji ya moto. Umepata mwanaume anakujali na yuko responsible kisa yuko busy unalalamika!!!! Ungempata chauvivu mnashinda kutwa mnachat napo ungelaumu. Put yo shits together, ikibidi jitafakari nini haswa unakihitaji na uelewe kwanza maana ya ndoa kabla ya kuingia huko.
 
Umesikika dear... Itabidi tu nivumilie ubize wake aisee as long as nimeshampenda... Mmmh usinikumbushe kuchat maana nilikuwaga nachat na yule monster like after every minute.. Sasa najikuta napata less than twenty messages kwa siku kila saa "am in a meeting babe" [emoji19] [emoji19] [emoji19] but nitazoea tu maji nishayavulia nguo....... Kiranga kinitulie mie
 
Ndio maisha yalivyo, hauwezi kupata kila kitu. Kila binadamu tuna mapungufu ila tunazidiana tu kuna mengine yana unafuu, na ambalo laweza kuwa nafuu kwangu lisiwe nafuu kwako. Usiendeshe mahusiano yako kwa mazoea, msome mtu wako ishi nae accordingly. Ni ngumu ila with time unazoea tu.

Angalau huyo alie busy ila ni MWANAUME mshikilie, tena kumbe unapata msgs za kutosha tu kwa siku!! Nawe tafuta cha kukufanya uwe busy ili muende sawa ili usiwe unakuwa bored sana ukisubiri atoke kwenye hizo meeting.

NB: ni ngumu kupata all qualities in one man, jifunze tu kuridhika mama.
 
Yo right.. Nimeanza kuzoea manake alishanikalisha kama mara mbili akanieileza kwamba yeye kwenye suala la chatting Hana muda.. At first ilikuwa ngumu sana but recently yeye mwenyewe ameniambia kwa kweli anashukuru kwa kuweza ku accommodate hiyo hali..

Kuhusu kuwa perfect ni Sawa hamna aliyekamilika mapungufu yake ninayaweza kuyabeba.. Naye ameyabeba yangu maisha yanaendelea..

Kwa sasa nina kazi inayonikip busy mnooo so sio tatizo tena... Hata tusipochat silaumu
 
Then good luck for you mama.
 
Back
Top Bottom