mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,877
mabinti wenzangu hebu acheni kujidanganya kwamba dating multiple men ndo kuolewa, unaweza date hata 10 na asikuoe hata mmoja mwisho wa siku ukaishia kuwa alone, ndoa ni majaaliwa ila cha muhimu ni kujua unataka nini na mtu wa aina gani, kuwa na mtu mmoja mkishindwana basi utapata mwingine na kama ni bahati yako utaolewa tu, trust me i speak from experience, muda ulipofika i met the man of my dream, we dated for just 8 months tukaanza process tukafunga ndoa. Kuna wadada ninawafahamu waliishi wa hiyo rule kwamba una date watu wawili au watatu unaangalia future iko wapi, jamani mpaka leo wapo tu, wingine wameamua kujizaliwa na kuwa single mothers