Wanaume niliowakataa mchumba namba tatu! Muendelezo

Wanaume niliowakataa mchumba namba tatu! Muendelezo

Watatu huyo ,,Mie naendelea kuhesabu baby hao niwale walokua serious tukiachana nawale ulosema " Namm ni binadamu nadanganyika".
a867e81357c61d2883d76e90e2d2552b.jpg

still I don't care ,, am just preparing myself to be your last standing Man.

Usije ukajikuta na wewe unashirikishwa kwenye story.
 
Ndio maisha yalivyo, hauwezi kupata kila kitu. Kila binadamu tuna mapungufu ila tunazidiana tu kuna mengine yana unafuu, na ambalo laweza kuwa nafuu kwangu lisiwe nafuu kwako. Usiendeshe mahusiano yako kwa mazoea, msome mtu wako ishi nae accordingly. Ni ngumu ila with time unazoea tu.

Angalau huyo alie busy ila ni MWANAUME mshikilie, tena kumbe unapata msgs za kutosha tu kwa siku!! Nawe tafuta cha kukufanya uwe busy ili muende sawa ili usiwe unakuwa bored sana ukisubiri atoke kwenye hizo meeting.

NB: ni ngumu kupata all qualities in one man, jifunze tu kuridhika mama.
We ni mwanamke wa ukweli saana ktk ushauri niliouona leo humu huu wako umesimama kama rula,akishindwa kukuelewa wewe basi tutegemee threads kibao za vilio toka kwake baadae........bravo mama!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Yo right.. Nimeanza kuzoea manake alishanikalisha kama mara mbili akanieileza kwamba yeye kwenye suala la chatting Hana muda.. At first ilikuwa ngumu sana but recently yeye mwenyewe ameniambia kwa kweli anashukuru kwa kuweza ku accommodate hiyo hali..

Kuhusu kuwa perfect ni Sawa hamna aliyekamilika mapungufu yake ninayaweza kuyabeba.. Naye ameyabeba yangu maisha yanaendelea..

Kwa sasa nina kazi inayonikip busy mnooo so sio tatizo tena... Hata tusipochat silaumu
Harafu upungufu alionao yeye ni wa kuwa bize na kazi si unapaswa ushukuru Mungu jamani.......nimekuja kukubali jamaa mmoja alikuwa anasema wanawake wengi wanapenda sana mashalobalo wapaka poda ns wavaa milegezo ni kweli kabisa!![emoji1]
 
Date both in the mean time hujaamua..ila kila mtu asijue kuna mwenzake...design u play loyal girl...sleep na mmoja tu...unaempenda ofcz,no neeed kulala na mwanaume usiemfeel...ukibambwaa kwny double dates mtu akikukoromea unamgeuzia kibao kwani ushanitolea mahari bbwnn wewe...
Pray wkt huo unafikia nini cha kufanya... U know the situation better than me...
Utaamua kadri situation zinavyokuja
Huo ni umalaya full stop.
 
mabinti wenzangu hebu acheni kujidanganya kwamba dating multiple men ndo kuolewa, unaweza date hata 10 na asikuoe hata mmoja mwisho wa siku ukaishia kuwa alone, ndoa ni majaaliwa ila cha muhimu ni kujua unataka nini na mtu wa aina gani, kuwa na mtu mmoja mkishindwana basi utapata mwingine na kama ni bahati yako utaolewa tu, trust me i speak from experience, muda ulipofika i met the man of my dream, we dated for just 8 months tukaanza process tukafunga ndoa. Kuna wadada ninawafahamu waliishi wa hiyo rule kwamba una date watu wawili au watatu unaangalia future iko wapi, jamani mpaka leo wapo tu, wingine wameamua kujizaliwa na kuwa single mothers
Mrs Leo you just tnailed it. Natamani hii ndio ingekuwa conclusion ya uzi huu. Asante sana. Wewe kweli ni mkomavu na busara pia unazo. Nimekupenda bure.
 
Bora uwafundishe, wanajazwa akili za kudhikiwa humu.
 
Mrs Leo you just tnailed it. Natamani hii ndio ingekuwa conclusion ya uzi huu. Asante sana. Wewe kweli ni mkomavu na busara pia unazo. Nimekupenda bure.
Kwny maisha kuna bahati na kuna kutumia akili pia.... Bahati ya mwenzio usilalie......
 
Nilikuelewa ,nakuelewa na nitaendelea kukuelewa Sweetheart... Naamini bado unakumbuka ,nilipokuambia kua ,Mimi Putin , nitakua upande wako tena nitahusika zaidi ktk wakati wako ambao utakua ukipigana sana kuifanya dunia ikuamini
ca247c53933bac4aba2fc2b4562540d1.jpg
nitakuwepo ,nitakuwepo ktk kuhakikisha Dunia inatambua mikono yako nisalama na inayofaa ,,again,,, I will always be there Miss Nimempata !!.
Hahaha
 
Back
Top Bottom