Wanaume niliowakataa mchumba namba tatu! Muendelezo

Rudisha hlo goma,mmudu,but date other guys pia(no sex,lazma ujilinde) ili akipindua u have backup ...umri ukienda mtatia akili wadogo zangu... Overtime some shitty qualities js go out of the window.. U stick wth basic issues... Mf wa issue basic ni good in bed,japo inategemea mtu na mtuu...na Mungu kakupangiajee
Hili goma naliogopa aisee.. Was really hurt sipati kuelezea hayo maumivu in writing.. Nimepata jamaa ananipenda sana sasa been dating for like four months now ila mmmh jamaa yupo too busy mpaka basi.. Kwa kujali anajali sana but nilishazoea mtu ambaye yupo available kila wakati nikitaka kuhang naye.. But due to the responsibilities and nature ya kazi yake huyu wa sasa ni ngumu kufanya hivyo kila ninapohitaji... Hebu nipe mawazo kungwi...
 
Date both in the mean time hujaamua..ila kila mtu asijue kuna mwenzake...design u play loyal girl...sleep na mmoja tu...unaempenda ofcz,no neeed kulala na mwanaume usiemfeel...ukibambwaa kwny double dates mtu akikukoromea unamgeuzia kibao kwani ushanitolea mahari bbwnn wewe...
Pray wkt huo unafikia nini cha kufanya... U know the situation better than me...
Utaamua kadri situation zinavyokuja
 
Huu ndio wakati muafaka wa kutUmia ule msemo '....ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO....'
TATIANA
 
Kwny maisha kuna baadhi ya vitu...ts all about perception...
Unaweza pata mtu mbaya ukammudu kuishi nae...na ukampata mzuri mkashindwana kabisaa... know ur man,know what u want cheza na hilo beat...angalia vya msingi kwako ni nini...jipange utaishije..mengine muombe Mungu akusatisfy..
Utashangaa siku huyo jamaa anaoa a woman na anakaa nae maisha yote...
Hizi akili ndo huwa zinasababisha wanawake mnachezewa kutwa kucha, na wengine mpaka mnazalishwa mnakuwa single mothers. Unakuta limtu bonge moja la PLAYER na mtaa mzima LINADATE na unalijua tabia yake lakini unakuta Wadada ndo wanalitaka hilo hilo, wanahisi likija kwao LITABADILIKA na kuwa TOFAUTI utafikiri K zao zina asali.
 
Bad and good is sometimes perception... Hao maplayer mbna badae huwa wanasettle/wanaoa?nini kinawatuliza?go figure...
Akidate mtaa mzima whats stopping u from dating other men as well?mana u never know u might find something better..
 
Naona umejijengea falsafa fulani za maisha, it's good then maana zinakupa amani.
- Na mara nyingi hizi huwa na falsafa za wanawake 30 plus .....
 
Date both in the mean time hujaamua..ila kila mtu asijue kuna mwenzake...design u play loyal girl...sleep na mmoja tu...unaempenda ofcz,no neeed kulala na mwanaume usiemfeel...ukibambwaa kwny double dates mtu akikukoromea unamgeuzia kibao kwani ushanitolea mahari bbwnn wewe...
Pray wkt huo unafikia nini cha kufanya... U know the situation better than me...
Utaamua kadri situation zinavyokuja
Thanks kwa tip... But tatizo langu ni moja huwa nafeel guilty.. Pia nikimpenda mtu huwa najitoa kwake tu so the other one sihitaji hata kumwona ndio maana nilivyoamua kumuacha huyo jamaa I was really hurt inside.. Lakini let me grow up bhana aagh we only live once anyway..
 
Hapo pakufeel guilty ndo huwa panacosti mabinti...dont feel guilty.. Dating is a game...
Cha msingi u cant play like men...play like a woman.... U shouldnt sleep around... Js date a nd have the company of men who say wana interest na wewe...usikatae wanaume mama....unless mtu akicommit kuoa...ila wasijue wamepangwa....have ur rules...wapime...utapata tuu among them...ofcourse there's a lot of compromises and sikiliza moyo wako ili ufurahie what u feel...
Be and live like a woman cause ur one...
Wamix mix tu wengi ili uwe na room kuchagua a better man as a life partner. ..stop it the day mtu katoa mahari...
And as a bonus it neutralizes any pain if ur played...mana u'v been playing pia...no blames za kitoto zile ohh umenitumia sijui vitu ganii...huyu akiuchuna yulee kapigaa...huyu akinunaa yulee anakutoa out, akikukataaa huyu yule yupoo...etc.chezeya plan a-z wewe haha...utakua unakataa mwenyewe...enjoy while it lasts
Nb usiende geto la mtu kama humpendi/kama u dont wanna have sex...mzungushee zungushe tuu na story za ur not ready....
 
Mbona unamuingiza shimoni mwenzako,si bora umwambie hata yule aliye bize ila anamjali jamani?
 
Shimoni wapi... Namfundisha maisha...akomae na mwanaume mmoja kvp akipindua aanze moja tena ama??men date multiple women... She can too... She js needs to be smart abt it...
Akatae wachumba kwani katolewa mahari?
 
Thanks kwa tip... But tatizo langu ni moja huwa nafeel guilty.. Pia nikimpenda mtu huwa najitoa kwake tu so the other one sihitaji hata kumwona ndio maana nilivyoamua kumuacha huyo jamaa I was really hurt inside.. Lakini let me grow up bhana aagh we only live once anyway..
Sasa kwa jinsi hivi ulivyo ukifanya kama anavyokwambia huyo utakamatwa siku moja tu na kitakachokupata utajua mwenyewe[emoji1]
 
Hapo pakufeel guilty ndo huwa panacosti mabinti...dont feel guilty.. Dating is a game...
Cha msingi u cant play like men...play like a woman.... U shouldnt sleep around... Js date a nd have the company of men who say wana interest na wewe...usikatae wanaume mama....unless mtu akicommit kuoa...ila wasijue wamepangwa....have ur rules...wapime...utapata tuu among them...ofcourse there's a lot of compromises and sikiliza moyo wako ili ufurahie what u feel...
Be and live like a woman cause ur one...
Wamix mix tu wengi ili uwe na room kuchagua a better man as a life partner. ..stop it the day mtu katoa mahari...
And as a bonus it neutralizes any pain if ur played...mana u'v been playing pia...no blames za kitoto zile ohh umenitumia sijui vitu ganii...huyu akiuchuna yulee kapigaa...huyu akinunaa yulee anakutoa out, akikukataaa huyu yule yupoo...etc.chezeya plan a-z wewe haha...utakua unakataa mwenyewe...enjoy while it lasts
Nb usiende geto la mtu kama humpendi/kama u dont wanna have sex...mzungushee zungushe tuu na story za ur not ready....
We mpeleke tu mwenzio shimoni atakuja kukulilia siku moja
 
Ila kama huna moyo wa chuma endelea na one man one woman....
Mwanaume akikuambia yuko bize na kazi sometimes sio kweli...ukute he js busy with another lady pia....
Ukipotea na wewe...mwambie tu uko bize na kazi pia hehehe...
Sikilizia moyo wako..ila tumia akili yako
 
We mpeleke tu mwenzio shimoni atakuja kukulilia siku moja
Bora alie kilio cha kushindwa kuchagua yupi kwa kuolewa nae kuliko kilio cha kujitoa sanaaa kwa mwanaume mmoja af akaolewa mwenzie... Life is abt choices baby...choices....challenge ur future
 
Sasa kwa jinsi hivi ulivyo ukifanya kama anavyokwambia huyo utakamatwa siku moja tu na kitakachokupata utajua mwenyewe[emoji1]
Mbna unamtia woga..? Unataka aendelee kuwaste time?am js advising her to use her time properly to reach her end goal ya kupata mtu wa kuishi nae...
 
Mwanamke umeumbiwa roho ngumu...use that...but dont appear as roho ngumu...appear soft heheh...act like a ladyyy but think like whoo...
 
Back
Top Bottom