Mr Cu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,289
- 974
Mwendelezo muhimuahaaaa aya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendelezo muhimuahaaaa aya
Achana nao watu wa humu huwa wanajua kila kituwananichekesha sana .kumbe kuna watu wanaamini avatar za huku eeh?
I will be back soonaisee watu mnapenda ubuyu.mnataka nifukuzwe kazi eeeh ? wakati nikiwapiga mzinga mnakuja na thread humu .acheni nijitafutie rizki bana maana bills zangu nalipa mwenyewe.pm yangu mmejaza lawama
basi naombeni mtulie na mchumba namba tatu hadi saa kumi na nusu jioni nitaendelea
Mchumba namba tatu
Uuwwwwi ***** ngoja kabisa nitukane .hivi ulishawai kumpenda mtu eeeh??? Huyu jamaa bwana nilimpendaaa mpaka nikawa Napata homa. Msema kweli mpenzi wa mungu ndo mwanaume pekee ambae pia alishawai kunikojoza. Na tulisex mara moja tu tena kimoja!nishapitapita huku na kule japo mimi sio Malaya ila ni binadamu nadanganyika jamani.ila sikuwai kukutana na mtu kama huyu plus aliniingia moyoni mbaya kabisa. Mungu ni mwema jamaa nae alikuwa ananipenda sio kidogo na yeye alitaka kunioa kabisa.jamani nilimpenda yule mkaka mpaka naandika hapa machozi yananitoka eti . jamani nina roho ngumu mimi sio ya nchi hii. ila kwa yule kaka moyo wangu ni maji tena hewa kabisa acheni.
Nakumbuka ilikuwa mkesha wa mwaka mpya flani jamaa akaniambia mwakani inabidi tufunge ndoa miss! Nilifurahi jamani siku hyo mimi yaani nilishinda mtandaoni kutafuta magauni ya harusi . yaani nilikuwa sishikiki bna.
Usiku wake nipo nimelala nikashtuka kuna kitu kikaniambia miss ebu omba kwa ajili ya huyu mchumba wako.kusema kweli mimi nampenda Mungu sana japo nachukia walokole na nawaponda haswa sio kwamba mimi ni mtu wa shetani lah .mimi napenda uhalisia sio kuishi maisha hayapo kama walokole wanavoishi.namcha Mwenyenzi Mungu nipo spiritual sio mtu wa dini dini mie.
Basi nikaamka saa nane na nilivo mvivu sasa aaah nikapiga dua yangu wee nikalala .
Kesho yake mwaka mpya huo nimeshtuka saa tano hata sikwenda kanisani wala nini nilipitiwa kumbuka nililala saa kumi na moja baada ya kuamka kusali saa nane ile. Simu ikaanza kuita . nikapokea ni mdada akawa anaongea kama mashine sijui ya nini na mimi nilivo mvivu hata sikumjibu mimi ni mvivu jamani hata kuongea sometimes nakaa kimya utadhani nina kiburi kumbe naona tu uvivu kuongea na wewe. Hata hapa naona uvivu kuandika basi tu ngoja nipumzike kidogo aaah
Basi bwana mi nikakata .akapiga tena akaniambia wewe Malaya unatembea na mchumba wangu flani nikikukamata nakufumua marinda live mwanamke anaongea yule nilikuja kugundua baadae ni mc huko uswazi so mnaweza kuelewa nilichambwa namna gani kaka na dada zangu.akabwabwaja wee haniachi hata niongee kitu jamani kuna wanawake wanaongea eti ?? ikabidi nikate tena akawa anapiga mimi sipokei.
Nikatulia wee mchana nikampigia nikamwambia sikiliza wewe dada usinione mimi fala hii simu nimepiga mimi kwaiyo kaa kimya unisikilize kama ulivopiga nikakusikiliza.akaleta jeuri ila baadae akaelewa maana nilikuwa na busara kidogo
Nikamwambia henu nieleze taratibu hiliswala lako hapa ongea na mwanamke mwenzako wacha jazba.mimi unanijua? Kosa langu ni lipi? Akaelewa chizi yule
Akaniambia dada flani ni mwanaume wangu nina watoto wake wawili.ni (kweli jamaa alishaniambia ana two kids!) nilikuwaga msichana wake wa ndani kipindi anaishi na mwanamke wake(ni kweli aliniambia alishawai kuishi na mwanamke wakashindwana) alinipa mimba ,akanipangishia chumba na hata leo amelala hapa nimeona sms zako kwenye simu yake. Nikamwambia pole na poa so unatakaje?
Akaniambia bwana mimi nachotaka achukue watoto wake akaishi nao kwake. Hapo jamaa alikuwa anaishi na watoto wengine watatu kwake .kumbuka aliniambia ana watoto wawili so mimi nkajua ndo hao.
Nikamuuliza watoto si anaishi nao siku zote ? akaniambia wale watatu pale home ni wa yule mwanamke alokuwa anaishi nae . so jamaa ana 5 kids na baby mazas watatu.
Aisee mapenzi haya acheni msione watu tupo single . nikamwambia poa mamaa usijali mimi wala sikuchukulii baba watoto wako tuliza mshono.
Nikamtafuta jamaa ,nikamueleza habari yote.akaniambia ni kweli ila ananipenda na yaliyotokea ni kosa lake alienda kupokea mwaka na watoto na kuwaaga maana mwakani ndo hivo tutakuwa wote
Ila nikaja kujumlisha na kutoa jamani mwanamme wa watoto watano!5 kids???? Eeeh maisha yenyewe haya ,tuna moyo lakini inabidi tutumie na ubongo eti ?mama watoto wapo single si awaoe? Mimi bwana nikaachana nae japo alikuwa mtamu yule acheni kabisa hakunaga
mchumba namba nne...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Maana naona ulivyoikodolea macho screen si mchezo, kweli hutaki kupitwa
Aaaaahhgg VladimirToka mwaka Jana mkuu !!.
Usiniangushe bana,, ujue mpaka nikasema labda nibadilishane namwingine tu we hutaki.
my dear mtu ana watoto watano na baby mamas watatu ningeishije hapo? sio kwamba nachagua sema ndo hivo naangukia cha kike. kukojoleshwa kupo tu bna ila jamaa alikuwa msweeti sio utaniHahahha miss wewe nmecheka sanaa...hasa the uvivu part mana nakue bora tuko wengi...
Swala la mume baby hamnaa perfection naona unaitafuta kwa bidii.... The good in bed guy angekufaa kama angekuoa kbs... Ndani ya ndoa utapambana siku ziende...mana siku utapata mtu hana mtoto ila kufanyana hajui au ana mambk flan ya ajabu huyafurahii inshort anakua hakuvutii kuspend time nae..
Marriage is a gamble u never get all u want and its okay...its life
Ila listen to your heart...mwisho wa siku..ht km utaingia cha kike usiwe na regrets
We ungeishi ndoa ya mke mmoja..hao wengine sa ngapi upo nao?.unless km ni mwislamu hapo risk ni kubwa...kuolewa mwanaume ana watt ipo...japo 5 si mchezo... If he wanted to marry u kiukweli idadi ya watt isikutishe, tafta namna ya kuishi nayo...in life u get some u loose somemy dear mtu ana watoto watano na baby mamas watatu ningeishije hapo? sio kwamba nachagua sema ndo hivo naangukia cha kike. kukojoleshwa kupo tu bna ila jamaa alikuwa msweeti sio utani
jamaa hajatulia pia kumbuka alitoka kwangu akaenda kulala kwa baby mama 2!We ungeishi ndoa ya mke mmoja..hao wengine sa ngapi upo nao?.unless km ni mwislamu hapo risk ni kubwa...kuolewa mwanaume ana watt ipo...japo 5 si mchezo... If he wanted to marry u kiukweli idadi ya watt isikutishe, tafta namna ya kuishi nayo...in life u get some u loose some
Wapo waume hawajazaa ht mmoja ila ndo kitandani dume goigoi hadi wake zao wanachepuka
Wanaume wengi wako hivo, the difference some tell some dontjamaa hajatulia pia kumbuka alitoka kwangu akaenda kulala kwa baby mama 2!
my dear unajua watoto watano kweli? kisa kukojozwa? hapana bnaWaweza chagua Sm things solve them wth silence..asbh wahi job,kuwa bize na nyumba yako,mumeo friends etc..piga kimya ishu Mf ishu za watt wa nje..au baby mama..we si ndo mke mwenye cheti...ndo unaishi nyumba ya mumeo...mnakutana ukubwani ulitegemea nini... Uvumilivu ndo huu....as long as the man provides for u,ana features flan unapenda,unaenjoy kuspend time na yeye and he can f.uck properly umepata a lot in life, be grateful....
Usione dada zako tumekaza sura kwny ndoa ukadhani we have it all..subutuu.... Keeping up appearances at its best...Badae bwn majukumumy dear unajua watoto watano kweli? kisa kukojozwa? hapana bna
my dear mtu ana watoto watano na baby mamas watatu ningeishije hapo? sio kwamba nachagua sema ndo hivo naangukia cha kike. kukojoleshwa kupo tu bna ila jamaa alikuwa msweeti sio utani
hapo sasa? pia ndoa ingekuwa haina amani past ingekuwa inatufata sanaMmmmh hata mim nakusupport bora ulivyoachana nae tuuu ...... yaani inakuwaje ashindwane na bbyMama 3 wote ,
NdioKwa hiyo ulisali kuanzia saa nane mpaka saa 11
Basi wewe mlokole?Ndio
Hahahahaaaa jiite miss natafunwa labda....Kumbe unajua hii list ni ya watu gani sio? Hujawai kutaka kunioa bna labda ije list ile ya kutaka kuni