Mimi nipo kwenye list ya Baba Mtakatifu katika wale mashemasi tuliokataa kuoa na kutoa maisha yetu kumtumikia Yesu Kristo.Upo nawe kwenye list?
Ahaa sawaMimi nipo kwenye list ya Baba Mtakatifu katika wale mashemasi tuliokataa kuoa na kutoa maisha yetu kumtumikia Yesu Kristo.
Bibie anajua kwa maana alikuja kuungama, sitaki kusema sana,ila natakakuiona list ya hapa na ile ya kule alikoungama kama zinafanana.
Wewe list yako unatoa lini? Mwaka wa ku declare interest huu.Ahaa sawa
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] but why?Pambana mama ila kwa kiasi kikubwa wanawake huwa tunawadanganya sana hata kama unampenda
Hahahhaha.. Hizo ndio zitanifanya nifike haraka si nitapaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] za mbayuwayu utapotea
Mim waliotakaga kunioa wote washakua matajiri kweli,hua nikikutana nao nijifichaa,mi nilikataa bado nazunguka mji tu hhhhaaaaaaWewe list yako unatoa lini? Mwaka wa ku declare interest huu.
Wewe nawe. Sasa ulikataa kwanini? Sasa hivi ungekuwa katika "Team kausha ATM"Mim waliotakaga kunioa wote washakua matajiri kweli,hua nikikutana nao nijifichaa,mi nilikataa bado nazunguka mji tu hhhhaaaaaa
Acha tu,,muda utafika tu lakinWewe nawe. Sasa ulikataa kwanini? Sasa hivi ungekuwa katika "Team kausha ATM"
Labda umeandaliwa ka Bligates kadogo fulani hivi kanakuja.Acha tu,,muda utafika tu lakin
Ahahhahah katakuja tuLabda umeandaliwa ka Bligates kadogo fulani hivi kanakuja.
Hebu ukue sasa ujue nini unataka we binti, utakosa mwana na maji ya moto. Umepata mwanaume anakujali na yuko responsible kisa yuko busy unalalamika!!!! Ungempata chauvivu mnashinda kutwa mnachat napo ungelaumu. Put yo shits together, ikibidi jitafakari nini haswa unakihitaji na uelewe kwanza maana ya ndoa kabla ya kuingia huko.Hili goma naliogopa aisee.. Was really hurt sipati kuelezea hayo maumivu in writing.. Nimepata jamaa ananipenda sana sasa been dating for like four months now ila mmmh jamaa yupo too busy mpaka basi.. Kwa kujali anajali sana but nilishazoea mtu ambaye yupo available kila wakati nikitaka kuhang naye.. But due to the responsibilities and nature ya kazi yake huyu wa sasa ni ngumu kufanya hivyo kila ninapohitaji... Hebu nipe mawazo kungwi...
Hahahaahaa... Lol utapata tu wa kwakoMim waliotakaga kunioa wote washakua matajiri kweli,hua nikikutana nao nijifichaa,mi nilikataa bado nazunguka mji tu hhhhaaaaaa
Umesikika dear... Itabidi tu nivumilie ubize wake aisee as long as nimeshampenda... Mmmh usinikumbushe kuchat maana nilikuwaga nachat na yule monster like after every minute.. Sasa najikuta napata less than twenty messages kwa siku kila saa "am in a meeting babe" [emoji19] [emoji19] [emoji19] but nitazoea tu maji nishayavulia nguo....... Kiranga kinitulie mieHebu ukue sasa ujue nini unataka we binti, utakosa mwana na maji ya moto. Umepata mwanaume anakujali na yuko responsible kisa yuko busy unalalamika!!!! Ungempata chauvivu mnashinda kutwa mnachat napo ungelaumu. Put yo shits together, ikibidi jitafakari nini haswa unakihitaji na uelewe kwanza maana ya ndoa kabla ya kuingia huko.
Ndio maisha yalivyo, hauwezi kupata kila kitu. Kila binadamu tuna mapungufu ila tunazidiana tu kuna mengine yana unafuu, na ambalo laweza kuwa nafuu kwangu lisiwe nafuu kwako. Usiendeshe mahusiano yako kwa mazoea, msome mtu wako ishi nae accordingly. Ni ngumu ila with time unazoea tu.Umesikika dear... Itabidi tu nivumilie ubize wake aisee as long as nimeshampenda... Mmmh usinikumbushe kuchat maana nilikuwaga nachat na yule monster like after every minute.. Sasa najikuta napata less than twenty messages kwa siku kila saa "am in a meeting babe" [emoji19] [emoji19] [emoji19] but nitazoea tu maji nishayavulia nguo....... Kiranga kinitulie mie
HhhhaaaaaaHahahaahaa... Lol utapata tu wa kwako
Yo right.. Nimeanza kuzoea manake alishanikalisha kama mara mbili akanieileza kwamba yeye kwenye suala la chatting Hana muda.. At first ilikuwa ngumu sana but recently yeye mwenyewe ameniambia kwa kweli anashukuru kwa kuweza ku accommodate hiyo hali..Ndio maisha yalivyo, hauwezi kupata kila kitu. Kila binadamu tuna mapungufu ila tunazidiana tu kuna mengine yana unafuu, na ambalo laweza kuwa nafuu kwangu lisiwe nafuu kwako. Usiendeshe mahusiano yako kwa mazoea, msome mtu wako ishi nae accordingly. Ni ngumu ila with time unazoea tu.
Angalau huyo alie busy ila ni MWANAUME mshikilie, tena kumbe unapata msgs za kutosha tu kwa siku!! Nawe tafuta cha kukufanya uwe busy ili muende sawa ili usiwe unakuwa bored sana ukisubiri atoke kwenye hizo meeting.
NB: ni ngumu kupata all qualities in one man, jifunze tu kuridhika mama.
Then good luck for you mama.Yo right.. Nimeanza kuzoea manake alishanikalisha kama mara mbili akanieileza kwamba yeye kwenye suala la chatting Hana muda.. At first ilikuwa ngumu sana but recently yeye mwenyewe ameniambia kwa kweli anashukuru kwa kuweza ku accommodate hiyo hali..
Kuhusu kuwa perfect ni Sawa hamna aliyekamilika mapungufu yake ninayaweza kuyabeba.. Naye ameyabeba yangu maisha yanaendelea..
Kwa sasa nina kazi inayonikip busy mnooo so sio tatizo tena... Hata tusipochat silaumu
Thanks dear.. Check yo pmThen good luck for you mama.