Ukigundulika shida iko wapi...boyfriend ni mume kwani?kama anataka kukaba sana aoeIla unatakiwa ujue mwanamke kama wana waume wawili kugundulika ni rahisi sana kuliko mwanume,sijui unalijua hilo?
Watatu huyo ,,Mie naendelea kuhesabu baby hao niwale walokua serious tukiachana nawale ulosema " Namm ni binadamu nadanganyika".
still I don't care ,, am just preparing myself to be your last standing Man.
Hahahahaha Miss natafuta ,nimwanamke anayejielewa mkuu !!.Usije ukajikuta na wewe unashirikishwa kwenye story.
Mwanamke bila kumdanganya huwezi kumpata na ukimwambia ukweli anakuona boya anakutosa jumla[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] but why?
We ni mwanamke wa ukweli saana ktk ushauri niliouona leo humu huu wako umesimama kama rula,akishindwa kukuelewa wewe basi tutegemee threads kibao za vilio toka kwake baadae........bravo mama!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ndio maisha yalivyo, hauwezi kupata kila kitu. Kila binadamu tuna mapungufu ila tunazidiana tu kuna mengine yana unafuu, na ambalo laweza kuwa nafuu kwangu lisiwe nafuu kwako. Usiendeshe mahusiano yako kwa mazoea, msome mtu wako ishi nae accordingly. Ni ngumu ila with time unazoea tu.
Angalau huyo alie busy ila ni MWANAUME mshikilie, tena kumbe unapata msgs za kutosha tu kwa siku!! Nawe tafuta cha kukufanya uwe busy ili muende sawa ili usiwe unakuwa bored sana ukisubiri atoke kwenye hizo meeting.
NB: ni ngumu kupata all qualities in one man, jifunze tu kuridhika mama.
Harafu upungufu alionao yeye ni wa kuwa bize na kazi si unapaswa ushukuru Mungu jamani.......nimekuja kukubali jamaa mmoja alikuwa anasema wanawake wengi wanapenda sana mashalobalo wapaka poda ns wavaa milegezo ni kweli kabisa!![emoji1]Yo right.. Nimeanza kuzoea manake alishanikalisha kama mara mbili akanieileza kwamba yeye kwenye suala la chatting Hana muda.. At first ilikuwa ngumu sana but recently yeye mwenyewe ameniambia kwa kweli anashukuru kwa kuweza ku accommodate hiyo hali..
Kuhusu kuwa perfect ni Sawa hamna aliyekamilika mapungufu yake ninayaweza kuyabeba.. Naye ameyabeba yangu maisha yanaendelea..
Kwa sasa nina kazi inayonikip busy mnooo so sio tatizo tena... Hata tusipochat silaumu
Huo ni umalaya full stop.Date both in the mean time hujaamua..ila kila mtu asijue kuna mwenzake...design u play loyal girl...sleep na mmoja tu...unaempenda ofcz,no neeed kulala na mwanaume usiemfeel...ukibambwaa kwny double dates mtu akikukoromea unamgeuzia kibao kwani ushanitolea mahari bbwnn wewe...
Pray wkt huo unafikia nini cha kufanya... U know the situation better than me...
Utaamua kadri situation zinavyokuja
Mrs Leo you just tnailed it. Natamani hii ndio ingekuwa conclusion ya uzi huu. Asante sana. Wewe kweli ni mkomavu na busara pia unazo. Nimekupenda bure.mabinti wenzangu hebu acheni kujidanganya kwamba dating multiple men ndo kuolewa, unaweza date hata 10 na asikuoe hata mmoja mwisho wa siku ukaishia kuwa alone, ndoa ni majaaliwa ila cha muhimu ni kujua unataka nini na mtu wa aina gani, kuwa na mtu mmoja mkishindwana basi utapata mwingine na kama ni bahati yako utaolewa tu, trust me i speak from experience, muda ulipofika i met the man of my dream, we dated for just 8 months tukaanza process tukafunga ndoa. Kuna wadada ninawafahamu waliishi wa hiyo rule kwamba una date watu wawili au watatu unaangalia future iko wapi, jamani mpaka leo wapo tu, wingine wameamua kujizaliwa na kuwa single mothers
Kwani ukiolewa ndiyo utabadilika. Tabia ni kama ngozi. Once a cheater always a cheater.Ukigundulika shida iko wapi...boyfriend ni mume kwani?kama anataka kukaba sana aoe
Bora uwafundishe, wanajazwa akili za kudhikiwa humu.mabinti wenzangu hebu acheni kujidanganya kwamba dating multiple men ndo kuolewa, unaweza date hata 10 na asikuoe hata mmoja mwisho wa siku ukaishia kuwa alone, ndoa ni majaaliwa ila cha muhimu ni kujua unataka nini na mtu wa aina gani, kuwa na mtu mmoja mkishindwana basi utapata mwingine na kama ni bahati yako utaolewa tu, trust me i speak from experience, muda ulipofika i met the man of my dream, we dated for just 8 months tukaanza process tukafunga ndoa. Kuna wadada ninawafahamu waliishi wa hiyo rule kwamba una date watu wawili au watatu unaangalia future iko wapi, jamani mpaka leo wapo tu, wingine wameamua kujizaliwa na kuwa single mothers
Mnataka afike 30,35 yupoyupo tu sio?.Kwani ukiolewa ndiyo utabadilika. Tabia ni kama ngozi. Once a cheater always a cheater.
Kwny maisha kuna bahati na kuna kutumia akili pia.... Bahati ya mwenzio usilalie......Mrs Leo you just tnailed it. Natamani hii ndio ingekuwa conclusion ya uzi huu. Asante sana. Wewe kweli ni mkomavu na busara pia unazo. Nimekupenda bure.
Mbona povu sana mkuuHuo ni umalaya full stop.
HahahaNilikuelewa ,nakuelewa na nitaendelea kukuelewa Sweetheart... Naamini bado unakumbuka ,nilipokuambia kua ,Mimi Putin , nitakua upande wako tena nitahusika zaidi ktk wakati wako ambao utakua ukipigana sana kuifanya dunia ikuamininitakuwepo ,nitakuwepo ktk kuhakikisha Dunia inatambua mikono yako nisalama na inayofaa ,,again,,, I will always be there Miss Nimempata !!.
Ndo ukweliMbona povu sana mkuu
Eheheheeee Lingabu....
Ngoja niende Jangid Plaza nikafundishwe forex mimi.