Wanaume njooni hapa mniambie aliyewaambukiza hii tabia

Wanaume njooni hapa mniambie aliyewaambukiza hii tabia

Mopak

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2024
Posts
2,643
Reaction score
5,733
Yaani wanaume imefika hadi tuna dressing table limejaa makolokolo kama saloon za kike.
Mara mtu ana sabuni aina zote hadi ya kunawia uso, ya tumbo na mgongo unayo, shampoo ya kichwa makopo kama yote, na kwa upande wa mafuta ndio usiseme sasa utafikiri ni beauty shop.
Mimi najua mwanamne ni kuingia bafu tena bila taulo unaoga ukimaliza unajitikisa kama mbwa alonyeshewa unavaa nguo unatoka bafu unapiga pushup kumi mwili unachemka unava viatu unaenda zako. Hii kazi ya kukaa cjui wapi mnasuguliwa kucha mlizitoa wapi badala utembe peku ujikwae kucha zikatike zenyewe. Hata kama tunasema maisha ni haya haya kuna haja gani ya kwenda kushikwa shikwa kichwa ati massage instead uegemee ukuta ujisugue uende zako au uegemee mti ujisugue utambae. Tunafeli wapi wanaume? Sabuni chukua hata ya unga jisugue nayo kwa kutumia gunia utoke bafuni au mtoni. Kwa hili kweli lazima mje na maelezo kamili na ukija na matusi njoo na kibali cha matusi utapita. Nimeenda hivi nakuja.
 
Back
Top Bottom