cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Maskini wakitafuta namna ya kujifariji lol. [emoji23][emoji23][emoji23]Hao ni machoko kama kina anko ti kwaiyo lazima wajioshe,wajipambe wawavutie wanaume wenzao
Maskini wakitafuta namna ya kujifariji lol. [emoji23][emoji23][emoji23]Hao ni machoko kama kina anko ti kwaiyo lazima wajioshe,wajipambe wawavutie wanaume wenzao
duniani hakuna mtu maskini kama unapumua. Kweli mwanamme unapata wapi nguvu ya kujipaka mafuta hadi matcon hata kama ni utajiri ndo upake makeup usoni. Na kwanza kwa taarifa yako tajiri hana huo mda wa kukaa kujipondoa kizuchu zuchu kwake yeyd kila dakika ni shillngi.Maskini wakitafuta namna ya kujifariji lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi najua mwanamne ni kuingia bafu tena bila taulo unaoga ukimaliza unajitikisa kama mbwa alonyeshewa unavaa nguo unatoka bafu unapiga pushup kumi mwili unachemka unava viatu unaenda zako.
Maskini akitafuta faraja na venye hamna.duniani hakuna mtu maskini kama unapumua. Kweli mwanamme unapata wapi nguvu ya kujipaka mafuta hadi matcon hata kama ni utajiri ndo upake makeup usoni. Na kwanza kwa taarifa yako tajiri hana huo mda wa kukaa kujipondoa kizuchu zuchu kwake yeyd kila dakika ni shillngi.