Wanaume njooni hapa mniambie aliyewaambukiza hii tabia

 
Umetusaliti sana kwa kuoga mara moja kwa wiki,

Si tulipatana kwenye vikao vyetu kua Mwanaume oga yake ni pale tu inapomkuta mvua barabarani?
N kwel mkuu, sasa kuna wakat wiki inaisha bila mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…