Wanaume njooni hapa mniambie aliyewaambukiza hii tabia

Maskini wakitafuta namna ya kujifariji lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
duniani hakuna mtu maskini kama unapumua. Kweli mwanamme unapata wapi nguvu ya kujipaka mafuta hadi matcon hata kama ni utajiri ndo upake makeup usoni. Na kwanza kwa taarifa yako tajiri hana huo mda wa kukaa kujipondoa kizuchu zuchu kwake yeyd kila dakika ni shillngi.
 
Unajitikisa Kama Mbwa Aliyenyeshewa Mvua πŸ€ͺπŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜
 
Mimi najua mwanamne ni kuingia bafu tena bila taulo unaoga ukimaliza unajitikisa kama mbwa alonyeshewa unavaa nguo unatoka bafu unapiga pushup kumi mwili unachemka unava viatu unaenda zako.

😁😁😁 dah "unajitikisa kama mbwa alonyeshewa" Nomaa sanaa
 
Maskini akitafuta faraja na venye hamna.
 
Sijapata maelezo ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…