Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Nitakutembelea una sifa nazotakaYatima tumefikiwa
Ma mdogo una kitu; utafika mbali sana. Mimi[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Siku mkiujua mzizi wa tatizo tutakuwa tumesolve 60% ya matatizo yote ya mahusiano.
Tabia ya ukubwani ni reflection ya tabia/mazingira mtu aliyokulia utotoni, kwa kuelewa au kutokuelewa ndiyo yanayomfanya mtu awe alivyo ukubwani. Na inaenda mbali zaidi, namna ambavyo mhusika ameelewa changamoto zake na kuamua kuzifanyia kazi.
Mwingine kwa kukosa familia utotoni anapokuwa mkubwa anathamini sana familia, ni kitu anachoweza kukifia, na familia bora inaanzia na ndoa bora. Kwa upande mwingine, mtu aliyekosa familia udogoni na pengine akalelewa kwa manyanyaso anaweza kuwa na roho ngumu/mbaya sana ukubwani, au akawa wa baridi (cold hearted) ambao ni watu hatari sana. The reason watu wanasumbuana sana katika mahusiano yoyote yale iwe ndoa, urafiki, ujirani, makazini etc ni sababu tunadeal na mashetani yaliyojivika ngozi za binadamu.
Kwahiyo mkuu circumstances yako haitoshi kudraw conclusion na kuitumia kutolea ushauri.
Sikiliza vyote lakini chagua vikufaavyoIla jf ya kuwa nayo makini sana hasa mashauri ya ndoa na mahusiano
Ya kusikia changanya na yako
Akili zinatuchaji kama tumekula ubwabwa wa Hashimu Rungwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila siku mnagundua mambo mapya...
Yaaani hampoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kupitia uzi huu ni dhahiri Mwanaume anapotaka kuoa anaoa AMANI YA NAFSI YAKE akiikosa ndio anaungana rasmi na CHAMA CHA WAKATAA NDOA[emoji3]Miaka mitatu iliyopita nilioa mwanamke kutoka familia ambayo alikuwa na wazazi wote, kwa kweli ndoa ilikuwa pasua kichwa, mwanamke akajaza vitimbi
Siku moja nikamwambia mjomba wangu kuhusu hali mbaya ya ndoa yangu, akanishauri achana na huyo mwanamke tafuta mwanamke ambaye ni yatima, ambaye maisha yake ya uyatima aliyaishi akiwa kati ya miaka 0 na 23, oa huyo utakuja kunishukuru sana.
Ni kweli kabisa nimetoa shukrani kwa mjomba kwa ushauri aliyonipa ni miaka 2 imepita sasa na hajawahi kuleta mgogoro na mjomba alioa yatima anaishi kwa amani sana na mimi nakushauri tafuta yatima oa, ndoa yako itakuwa salama sana.
Na wanawake wa hivi wananidhamu, upendo, huruma, na wanyenyekevu ila ukimuudhi ni rahisi kububujikwa na machozi na nzuri zaidi mme wake ndiyo humfanya kama baba yake mzazi ambaye alimuacha akiwa mdogo.
Yani hadi tupate solution haiwezekani Adamu asifurahie haya maishaWanaume tunazidi kuumizwa vichwa tu[emoji1787][emoji1787]
Mwanaume unatakiwa uumizwe kichwa na MAONO YA MAISHA YAKO TU. Haya mengine ni ya kujitakia[emoji3]Wanaume tunazidi kuumizwa vichwa tu[emoji1787][emoji1787]
Ukienda kuoa angalia nani mwenye kauli kwenye familia kati ya Baba na Mama, ukiona Mama ndio mwenye kauli kijana jiandae kisaikolojia hapo jiandae kuburuzwa maana huyo binti kakopi familia yake inavyoendeshwa kimama Mama, ukikuta mwenye kauli ni Baba Oa fasta tena usiulize mahari mara 2 na usiweke hata deni maliza ingawa wanasema mahari haimalizwi
Thank you mamdogo, Nakupenda . 😍Ma mdogo una kitu; utafika mbali sana. Mimi[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
I adore you (especially your brain); big timeeeeeThank you mamdogo, Nakupenda . 😍